Pre GE2025 John Heche kumuunga mkono Lissu asema Lissu ni mkweli, muwazi na muadilifu sana

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Same people same interest same agenda .

Siasa hazina waadilifu na wakweli.

Wakweli na waadilifu wapo kanisani wanahubiri injili .

Heche anatoa certificate of moral authentication kama opinion tu
 
Kumuunga mkono mgombea X ama Y si dhambi - tungoje BOX litasema ukweli.
 
ABSOLUTELY CORRECT
 
Huyu ndio mlisema juzi yuko mahututi kalishwa sumu?Wacheni uzushi na unafiki.Kila mnalozua halina ushahidi na kwa sababu propoganda zenu hazifanikiwi mpo desperate na kurukia kila jambo.
Jitayarisheni kwa uchaguzi hamtamuweza Mwamba kwa kelele za mitandaoni.Uchaguzi ni numbers sio bla bla.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…