Pre GE2025 John Heche kumuunga mkono Lissu asema Lissu ni mkweli, muwazi na muadilifu sana

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Machawa wa mboe wanamchafuwa sana
 
Kwanini Mbowe aachie uenyekiti, hizo taarifa ulidanganywa Mbowe hajawahi kufikiria hivyo? Na isitoshe ile nafasi inagombewa kwa uchaguzi kama huu unaokuja, hivyo kuachia tu isingekuwa busara kwa mtu anayeifahamu haja na haki, na demokrasia ya kuchaguana.

Wako wawili lazima tumchague mmoja.

Sasa hivi humuheshimu, sasa ungemuheshimu vipi baada ya kuwa hana madaraka yoyote?

Halafu kuhusu ccm kushinda imekuwa ikishinda miaka yote, October 2025 itashinda tena awe Mbowe awe lisu, hakuna jipya katika hilo usitudanganye.
 
AMESHAJICHIMBIA KABURI KWA MTU AMBAYE HATASHINDA UENYEKITI SIJUI WATAKIMBILIA WAPI MBOWE HANA CHA KUPOTEZA AKISHINDA HATA CHAMA KIKIFA HANA SHIDA ATAKUWA AMEWANYOOSHA HAO WANAOMKATAA SASAHIVI
Hana chochote cha kuwafanya, labda ashinde urais, maana ukiwa rais nchi hii ndio unaweza kuunda hadi kundi la watu wasiojulikana.
 
AMESHAJICHIMBIA KABURI KWA MTU AMBAYE HATASHINDA UENYEKITI SIJUI WATAKIMBILIA WAPI MBOWE HANA CHA KUPOTEZA AKISHINDA HATA CHAMA KIKIFA HANA SHIDA ATAKUWA AMEWANYOOSHA HAO WANAOMKATAA SASAHIVI
Unadhani Lissu ni maskini kama wewe? Jaribu na wewe kwa nafasi yako Abdul akupe rushwa.
Unasema chadema ikifa Mbowe hana cha kupoteza? Unaujua utamu wa ruzuku wewe? Au utamu wa kusafisha rungu kwa viti maalum!
 
Heche for makamu mwenyekiti.
 
Huyu aliyenunuliwa matrekta na Abdul akajengewa na nyumba Mwanza kule Nyegezi?
Yaani huyu Heche asivyokubalika na majirani zake hapa Majengo, Nyegezi unashangaa. Keishagombana na majirani wote kisa ujuaji!
 
Ni kweli ila watu hawali ukweli na uadilifu na in fact wanachukia hivyo vitu hata kama wanajifanya kuigiza.

Dunia haiendani na hivyo vitu.
 
Ni hivi akishinda Mbowe ndio 50% ya wapiga kura watasusa kupigia chadema tena. We angalia tu humu JF ID zote kongwe zilizosupport chadema zimeshaonyesha kujitoa kama atarudi Mbowe ndio sembuse huko mtaani!!

Tawi letu tumeshaapa akiletwa Mbowe tunarudisha kadi tubaki kama Dr Slaa tu
 
Hiyo ni too low even for somebody like you.Hoja kama hizo zilitolewa wakati Zitto Kabwe anafukuzwa.Vijana wengi walitishia nyau kwamba watahama Chadema hakuna cha maana kilichotokea.Huwezi kutoa Ultimatum kwenye uchaguzi kwamba asipopita ninayemtaka nahama Chama ni hoja ya kitoto sana.
Uchaguzi ni mchakato sio udikteta.Usipopata unachotaka ujue demokrasia ndio ilivyo.You win or you lose ndio siasa sio mikwara mbuzi.
 
Choosing to be on the right side.
Heche choose the right side.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…