Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
John Heche amesema kuwa Tundu Lissu ana nafasi kubwa ya kushinda Uchaguzi wa Uenyekiti wa CHADEMA ngazi ya Taifa, akisisitiza "hilo liko wazo na halipingiki"
Licha ya kumuunga mkono Tundu Lissu, John Heche alichukua fomu ya kugombea Umakamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tanzania Bara
Pia, Soma:
- Cyprian Musiba: Muunganiko wa Heche na Lissu itatupa tabu CCM, Mbowe sio mgumu
- John Heche: Nitamuunga Mkono Tundu Lissu, na nitagombea Umakamu Mwenyekiti CHADEMA