Pre GE2025 John Heche: Mbunge analipwa Milioni 20 kwa mwezi na posho ya laki 6 kwa siku. Nchi hii inaibiwa sana!

Pre GE2025 John Heche: Mbunge analipwa Milioni 20 kwa mwezi na posho ya laki 6 kwa siku. Nchi hii inaibiwa sana!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Ni wabunge wa CCM tu au wote? Point yake ilikuwa ni nini na wakati yeye pamoja na viongozi wao waandamizi wakati wapo bungeni hawakuwahi kuombwa kupunguziwa malipo.
Pointi yake ni matumizi makubwa sana ya serikali kwenye mambo ambayo sio ya muhimu.

Matumizi makubwa ya serikali yetu huenda kwenye mambo yasiyo na tija ama yasiyo na faida kwa wananchi.
 
Wakuu,

Akiwa anaongea siku ya leo, Heche ametaja kiwango ambacho mbunge analipwa kwa mwezi

Heche anasema nchi hii inaibiwa na imedumaa

Kwanì yeye akiwa Mbunge 2015-20 alikuwa analipwa ngapi? Je aliwahi kuzikataa wakati huo?

Hawa akina Heche wametumia nguvu nyingi kuingia uongozi wa CHADEMA lakini hawana agenda. Niko pale nite mbwa
 
Niliumia sana siku nilipomuona mke wa alieyekuwa mbunge ktk serikali ya Mwinyi, akaja kuwa waziri ktk awamu ya mkapa, akaja kuwa raisi Wa awamu ya Nne, akaja kuwa mstaafu na mwenye keto wa chuo kikuu cha dar anaelipwa fedha lukuki, eti kasimama bungeni na kuomba wake wa viongozi waliwe😭na bila aibu sheria ikatungwa. SISIEMU MLAAANIWE
 
Ni wabunge wa CCM tu au wote? Point yake ilikuwa ni nini na wakati yeye pamoja na viongozi wao waandamizi wakati wapo bungeni hawakuwahi kuombwa kupunguziwa malipo.
ALitamka, ofisi ya spika ikamwambia anatoa siri za Bunge. Kumbe mishahara ya wafanyakazi wa umma huwa ni siri eee
 
Back
Top Bottom