Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna mwingine juzi kati kasema wanalipwa sh. milioni 16. Halafu, huyu alipokuwa Mbunge aliwahi kulalamika analipwa hela nyingi? Au ndio muendelezo wa unafiki wa Lissu na genge lake??Wakuu,
Akiwa anaongea siku ya leo, Heche ametaja kiwango ambacho mbunge analipwa kwa mwezi
Heche anasema nchi hii inaibiwa na imedumaa
Soma, Pia: Martin: Wabunge wanalipwa posho zaidi ya TSh. Milioni 86 kwa siku Bungeni Dodoma. Ama kweli Siasa ni Mchongo!
Aliwahi kuyasema mbona!!?Alikua wapi kusema hayo akiwa mbunge?
Wewe tueleze ukweli kama Heche ni muongoLiongo sana hili lijamaa.
Kuna mwingine juzi kati kasema wanalipwa sh. milioni 16. Halafu, huyu alipokuwa Mbunge aliwahi kulalamika analipwa hela nyingi? Au ndio muendelezo wa unafiki wa Lissu na genge lake??
UWT bado hujakua, Zitto na Kingu walikataaNi wabunge wa CCM tu au wote? Point yake ilikuwa ni nini na wakati yeye pamoja na viongozi wao waandamizi wakati wapo bungeni hawakuwahi kuombwa kupunguziwa malipo.
Aliwahi kuyasema mbona!!?
Kwenye ilani ya uchaguzi waweke mapendekezoWakuu,
Akiwa anaongea siku ya leo, Heche ametaja kiwango ambacho mbunge analipwa kwa mwezi
Heche anasema nchi hii inaibiwa na imedumaa
Soma, Pia: Martin: Wabunge wanalipwa posho zaidi ya TSh. Milioni 86 kwa siku Bungeni Dodoma. Ama kweli Siasa ni Mchongo!
Kabisa hata Mimi Hawa waheshimiwa niliwahi wasikia wakilisema Hilo .Wameongea mara nyingi, hata Zitto ameongea sana
Kwa hiyo hata yeye na Lisu walishiriki kuiibia Nchi kwa kukubali kulipwa 20m na posho ya laki 6 au yeye alirudisha? hii ni kutafuta huruma ya wananchiWakuu,
Akiwa anaongea siku ya leo, Heche ametaja kiwango ambacho mbunge analipwa kwa mwezi
Heche anasema nchi hii inaibiwa na imedumaa
Soma, Pia: Martin: Wabunge wanalipwa posho zaidi ya TSh. Milioni 86 kwa siku Bungeni Dodoma. Ama kweli Siasa ni Mchongo!
Tatizo hapo ni ...wanalipwa kwa kazi gani wanayo fanya zaidi ya kazi ya kula na ku💩💩 tu bungeni ...au wenzangu mnajua kazi yoyote ya maana ya wabungu tulio naoNi wabunge wa CCM tu au wote? Point yake ilikuwa ni nini na wakati yeye pamoja na viongozi wao waandamizi wakati wapo bungeni hawakuwahi kuombwa kupunguziwa malipo.
Kuna wakati huwa unaongea ukweli na kuweka itikadi pembeniYapo malipo ambayo hulipwa kwa watu na serekali ambayo hukatisha tamaa hata walipa kodi
Niliwahi kusema hapa, ubunge isiwe ni kazi ya malipo ya anasa, iwe ni shughuli ambayo ni ya kiuwajibikaji zaidi na kizalendo na mshahara wake usizidi 5ml.hii itafanya yule nayehitaji ubunge atakuwa ni mwenye uchungu wa dhati kwa Jamii yake katika maendeleo ya jamii yake, ubunge unawekewa malipo makubwa that mean utawaingiza watu ambao wanaozifuata fedha na sio maendeleo ya jamii zao, ndio hawa sasa wanaoanza kurudi majimboni dakika za majeruhi.
CHADEMA walipush sn tu sema CCM wameteka mifumo yoteHii hoja haina mashiko.
Jiwe huko CCM alikuwa serikalini kwa muda gani?
Mbona alivyokuwa Rais akaanza kulalamika kuwa kuna wafanyakazi hewa etc hakuwa anawaona muda wote? Au alianza kuwaona baada ya kuwa Rais?
Samia kuna kipindi alikuwa analalamika kwamba kuna uonevu katika ukusanyaji wa kodi, kwamba TRA wanaonea wafanyabiashara.
Kwanini hakusema kipindi akiwa Makamu?
Ukinijibu hayo maswali mawili, nitakujibu kwa nini CHADEMA hawakupush hiyo agenda pindi wakiwa bungeni.
Waiweke kwenye ilani yao mwaka huu kwamba wakishika serikali watapunguza mishahara ya wabunge na posho, mshahara wa rais na mawaziri, na kufuta malipo wanayolipwa kina Salma.Ni wabunge wa CCM tu au wote? Point yake ilikuwa ni nini na wakati yeye pamoja na viongozi wao waandamizi wakati wapo bungeni hawakuwahi kuombwa kupunguziwa malipo.
Big no. Nakumbuka ni wabunge wawili tu waliowahi kukataa kuchukua baadhi ya posho, Zitto na Januari.CHADEMA walipush sn tu sema CCM wameteka mifumo yote