sblandes
JF-Expert Member
- Apr 25, 2010
- 6,632
- 4,737
Wanafiki,walafi,flankly speaking ubunge wa upinzani ni talking shop hakuna jambo watalipitisha bila CCM.Ni wabunge wa CCM tu au wote? Point yake ilikuwa ni nini na wakati yeye pamoja na viongozi wao waandamizi wakati wapo bungeni hawakuwahi kuombwa kupunguziwa malipo.
Wala hawasaidii maendeleo ya mwananchi its a wastege of government revenue.
Na mara nyingine wamezidiwa kete wanasaliti vyama vyao.
Vyama vingi sio solution bali mbunge asilazimike kuwa mwanachama.
