Pre GE2025 John Heche: Mbunge analipwa Milioni 20 kwa mwezi na posho ya laki 6 kwa siku. Nchi hii inaibiwa sana!

Pre GE2025 John Heche: Mbunge analipwa Milioni 20 kwa mwezi na posho ya laki 6 kwa siku. Nchi hii inaibiwa sana!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Alivyokua mbunge mbona hakupendekeza posho zipunguzwe
 
Pointi yake ni matumizi makubwa sana ya serikali kwenye mambo ambayo sio ya muhimu.

Matumizi makubwa ya serikali yetu huenda kwenye mambo yasiyo na tija ama yasiyo na faida kwa wananchi.
Acheni tuendelee kuwanyonya mpaka mfe nyie ni kondoo wetu na hamna namna ya kutuondoa madarakani mpaka Yesu arudi.
 
Huyu mngese alivyokuwa bungeni aliwahi peleka hoja ya kupunguziwa mishahara? Aache unafiki na wivu kwa sababu hayuko bungeni.
 
Heche na yeye aaje ujinga,,kwa hili namkataa yeye si alikua mbunge? hatakama haikua 20 m wakati huo mbona hakuzikataa?
 
Kwahiyo kuna mtu analipwa 600K kwa kupiga mwayo kwa siku na mwingine 600K kwa mwezi kwa kuhangaika na wagonjwa
 
Wameongea mara nyingi, hata Zitto ameongea sana
Zitto inajulikana. Ila hao kenge wa CHADEMA hawajawahi kutaka maslahi ya wabunge yapunguzwe. Lema alimdhihaki Zitto na kumwona mnafiki.
 
Kwahiyo kuna mtu analipwa 600K kwa kuoiga mwayo kwa siku na mwingine 600K kwa mwezi kwa kuhangaika na wagonjwa
Maisha sio fair kabisa unakuta muuguzi anakesha anaona watu wanakata moto anafariji familia... ila ndio hivyo tena ni mfumo tuliochaguliwa🐼
 
Huyu mngese alivyokuwa bungeni aliwahi peleka hoja ya kupunguziwa mishahara? Aache unafiki na wivu kwa sababu hayuko bungeni.

Samia akiwa Rais alisema kuwa wafanyabiashara wanateswa na TRA kwa kulipishwa kodi kwa nguvu

Kwanini hakusema hayo maneno kipindi akiwa Makamu?
 
Heche ajiwa Mbunge kapokea huo mshahara. angeukataa
Sema watu amfatilii tu Mambo Dr Slaa akiwa mbunge aliwai kupeleka hoja bungeni ya kupitia upya mishaara ya Rais, wabunge na mawaziri ikatupwa kabatini kipindi hicho Kikwete analipwa dollar laki 2 per year bila Kodi!;
 
Kwanì yeye akiwa Mbunge 2015-20 alikuwa analipwa ngapi? Je aliwahi kuzikataa wakati huo?

Hawa akina Heche wametumia nguvu nyingi kuingia uongozi wa CHADEMA lakini hawana agenda. Niko pale nite mbwa
Mbwa ww!
 
Niliumia sana siku nilipomuona mke wa alieyekuwa mbunge ktk serikali ya Mwinyi, akaja kuwa waziri ktk awamu ya mkapa, akaja kuwa raisi Wa awamu ya Nne, akaja kuwa mstaafu na mwenye keto wa chuo kikuu cha dar anaelipwa fedha lukuki, eti kasimama bungeni na kuomba wake wa viongozi waliwe😭na bila aibu sheria ikatungwa. SISIEMU MLAAANIWE
inaumiza sana
 
Sema watu amfatilii tu Mambo Dr Slaa akiwa mbunge aliwai kupeleka hoja bungeni ya kupitia upya mishaara ya Rais, wabunge na mawaziri ikatupwa kabatini kipindi hicho Kikwete analipwa dollar laki 2 per year bila Kodi!;
Oouh.... kwa hiyo aliyeanzishiwa uzi ni Dr Slaa.
 
Wakuu,

Akiwa anaongea siku ya leo, Heche ametaja kiwango ambacho mbunge analipwa kwa mwezi

Heche anasema nchi hii inaibiwa na imedumaa

Soma, Pia: Martin: Wabunge wanalipwa posho zaidi ya TSh. Milioni 86 kwa siku Bungeni Dodoma. Ama kweli Siasa ni Mchongo!
huyo muungwana adicted wa kubeti anapotosha hicho kiwango, kwasababu ni muongo mzoefu

lakini hata hivyo,
posho, mshahara na marupurupu hayo ya wawakilishi wa wananchi inafaa kuongezwa zaidi ili kuendana na uzito wa majukumu na wajibu wa kitaifa walio nao.

ni muhimu sana maslahi haya yakaongezwa ili kuongeza motisha ya kazi nyingi walizonazo kwa wananchi :BASED:
 
Back
Top Bottom