Pre GE2025 John Heche: Mbunge analipwa Milioni 20 kwa mwezi na posho ya laki 6 kwa siku. Nchi hii inaibiwa sana!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Ni wabunge wa CCM tu au wote? Point yake ilikuwa ni nini na wakati yeye pamoja na viongozi wao waandamizi wakati wapo bungeni hawakuwahi kuombwa kupunguziwa malipo.
Wanafiki,walafi,flankly speaking ubunge wa upinzani ni talking shop hakuna jambo watalipitisha bila CCM.
Wala hawasaidii maendeleo ya mwananchi its a wastege of government revenue.
Na mara nyingine wamezidiwa kete wanasaliti vyama vyao.
Vyama vingi sio solution bali mbunge asilazimike kuwa mwanachama.
 
Kwanì yeye akiwa Mbunge 2015-20 alikuwa analipwa ngapi? Je aliwahi kuzikataa wakati huo?

Hawa akina Heche wametumia nguvu nyingi kuingia uongozi wa CHADEMA lakini hawana agenda. Niko pale nite mbwa
Angezikataa ndio ingesaidia nini? Hazikuwa pesa haramu zile hadi azikatae.
 
Nadhani kuongeza Mishaara kunatakiwa kuwe kwa level zote za watumishi wa umma, Sio genge la watu wa chache wenye kuzani wana sauti kubwa kuliko wengine ndio waongezewe mishahara
 
Halafu wakilaumiwa mbona hiki na kile hawajafanya wanajibu kuwa hiyo sio kazi ya mbunge.
 
Nadhani kuongeza Mishaara kunatakiwa kuwe kwa level zote za watumishi wa umma, Sio genge la watu wa chache wenye kuzani wana sauti kubwa kuliko wengine ndio waongezewe mishahara
kwa wakati muafaka huko nako ni lazima kupigwe darubini,

lakini ni muhimu kuanzia kwa hawa wawakilishi muhimu sana wa wananchi wenye majukumu mazito na ya maana mno kwa Taifa.

huyo mzee wa kubeti alikua mbunge, alitumia vibaya nafasi na mafao yake leo hii hana kitu ana wivu kinoma
 
Kwahiyo ilikuwa sawa kwa Heche kukaa kimya kuhusu mishahara mikubwa kwa wabunge kwasababu wakati huo alikuwa Mbunge? Nijibu hili ili nikijibu vizuri.
 
Kwa Mwezi Mmoja Anakunja Kibondoni Millions 38
 
Jibu lako lina akisi akili ufupi wa akili uliyonayo ambayo ni kama mkia wa mbuzi
Hata kuandika kiswahili tu kunakushinda, natilia mashaka kama unaweza kuelewa nachoandika.
 
Shoga Heche

Akiwa Bungeni alikua anachota pesa kikya kimya sio?

Angeonyesha mfano akachukua mshahara laki 6 ili tujue ni mzalendo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…