figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
Kasema Tanzania kuna Ziwa Nyasa, Tanganyika, Ziwa Victoria lakini tunadai kuna upungufu wa maji na kuna mgao Dar na Mwanza. Eti Jangwa la Kalahari huko Botswana maji yapo hakuna mgao.
Anasema Tanzania hakuna Viongozi wenye maono sababu wananunua Magari ya Bil 500 wakati Dar Bil. 200 inamaliza tatizo la maji.
Je, anachoongea kina mashiko au ndiyo upinzani?
Tanzania kuna ombwe la uongozi.