John Heche: Mwalimu anayestahili kuwa nje ya Ualimu

Wewe heche huyo mwamba ungeachana naye tu, kwa Heche ni watafutaji wanaamini kujitafuta wenyewe na sio ajira za kuajiriwa nafikiri Heche humjui ungenyamaza tu uende zako ukapewe t-shirt ya kijani
Nakazia
 
Kwa tz tunaona mtu asiepita f6 kuwa kaungaunga
Watu kama wewe mnasikitisha,elimu ya advance bila reforms nayo ni kupoteza muda.
Mwenye cheti hicho akijitutumua sana atafundisha tuishieni mtaani bali aliyeenda vyuo vya kati anaweza kujipatia rizki na kujenga nchi kwani tayari ana ujuzi.
Mwisho wewe ni katibu wa kitu gani usiyeweza kuandika mawazo yako yakapangika??
Kwa maelezo uliyotoa wewe ni bwana mdogo sana kwa mtu wa level za Heche
 
Ndio uonavyo
 
Kuna kitu alikuja kukulalamikia anahitaji msaada wako? Mbona yoyote anayepinga dhulma mnayoifanya anakuwa sio mzalendo kwenu?
 
Kuna kitu alikuja kukulalamikia anahitaji msaada wako? Mbona yoyote anayepinga dhulma mnayoifanya anakuwa sio mzalendo kwenu?
Sasa anilalamikie ili iweje,mimi namwambia kama kiongozi wa umma sababu najua hana njaa ya kuniomba pesa ila anakabiliwa sababu yeye ni kiongozi wa umma,hivyo pesa za tonetone tujue zinaendaje.
 
Kuna drop out ya form 4 imepata zali la kutawala nchi.
 
Sasa anilalamikie ili iweje,mimi namwambia kama kiongozi wa umma sababu najua hana njaa ya kuniomba pesa ila anakabiliwa sababu yeye ni kiongozi wa umma,hivyo pesa za tonetone tujue zinaendaje.
Umechangia kiasi gani mpaka ujue. Wanaochanga hawajawahipokutaka kujua hayo ila waupande wa pili ndio wanaoumia. Dunia kweli ina vichekesho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…