Oworuganda
JF-Expert Member
- Feb 6, 2016
- 2,187
- 2,800
Alichagua njia hiyo,kila mtu na yake.
SawaNimeandika na kutuma JamiiForums ili uone
. Hata wewe hukumwambia muhusika uliyemkusudia umeandika humu humu.
Ni kweli,tonetone imemrudisha kwenye ramaniAlichagua njia hiyo,kila mtu na yake.
Mods kama mpo huu uzi una shida kuanzia kwenye introduction. Labda mpeleke kwenye jukwaa la dini!Asalam aleykum, kwa Waislam wenzangu.
Ninaandika haya kwa masikitiko makubwa, hii ni sababu tangu Bwana Wegesa, au maarufu kwenye siasa zake uchwara akiitwa Heche.
Mtu huyu, kwa taaluma, aliungaunga kutoka Bunda TC na kujiunga Chuo Kikuu SAUT, akapata shahada ya ualimu.
Alibahatika kupata ajira, akapangwa kituoni. Yeye akafika kwa Mkurugenzi na kutaka apangwe mjini, kisa awe anaangalia mechi za Arsenal. Kuanzia hapo nilimshangaa mtu yule kwa uwezo mdogo.
Acha aendelee kumtumikia Lissu na wenzake kuliko kuwa mwalimu, sababu angetuharibia watoto wetu kwa ya ubishi wa hovyo.
Heche, mdogo wangu wewe, acha ujinga na utulie. Kupayuka hovyo kuna majuto mbele.
Huna hoja, Kuna nazi upike mume wako akute msosi tayari,😅😅Wewe ita utakavyojisikia tu,Nyumbu wewe
Nyumbu haujui kituHuna hoja, Kuna nazi upike mume wako akute msosi tayari,😅😅
Pika Mboga wewe mdada mume akute msosiNyumbu haujui kitu
Wakoloni weusiSahihi kabisa, wafanya fujo wapigwe
Hapa hawa Masheikhe wa CCM ni qafir tupu,Mwanamke hawi kiongozi hata msikitini akiswali ni daraja mojaSawa qafir
Qafir ni wewe mwenyeweHapa hawa Masheikhe wa CCM ni qafir tupu,Mwanamke hawi kiongozi hata msikitini akiswali ni daraja moja
Sheikh au huyu mwanamke mgawa bahasha.Qafir ni wewe mwenyewe
Nyumbu weweSheikh au huyu mwanamke mgawa bahasha.
Aaah, ng'ombe wa mama weweNyumbu wewe
Ndio maana nchi yetu haisongi mbele sababu ya watu kama wewe. Mtendaji wa wizara unapata wapi muda wa kuja kuandika mambo ya ndani ya Heche?, utafikiri unalala naye kitanda kimoja. Huo muda si ungeutumia kuisaidia wizara isonge mbele?.Mimi ni mtendaji wa wizara,nimepanda cheo sababu ya kuitumikia vema nchi yangu