John Heche: Mwalimu anayestahili kuwa nje ya Ualimu

Asalam aleykum
Hivi unajua kuwa anajitahidi kuonesha uwezo ili kuiba zaidi vijisenti vilivyobaki,akitoka lissu watagombana sana sababu atakuta lema na heche wamemaliza huku yeye akiwa hana hata nauli kwenda kwa rafikiye Amsterdam.
Kwanza sielewi maana yako ya utambulisho huo wa kiimani yako ndio msukumo wa hii mada, au unazo fikra huru za kuzungumzia maswala ya aina hii bila ya kilevi cha hizo imani unazozitanguliza mbele.
Mistari yako miwili hapo juu inanionyesha kwamba mada yako hii ni ya kipuuzi.
 
Asalam aleykum, kwa Waislam wenzangu.

Ninaandika haya kwa masikitiko makubwa, hii ni sababu tangu Bwana Wegesa, au maarufu kwenye siasa zake uchwara akiitwa Heche.

Mtu huyu, kwa taaluma, aliungaunga kutoka Bunda TC na kujiunga Chuo Kikuu SAUT, akapata shahada ya ualimu.

Alibahatika kupata ajira, akapangwa kituoni. Yeye akafika kwa Mkurugenzi na kutaka apangwe mjini, kisa awe anaangalia mechi za Arsenal. Kuanzia hapo nilimshangaa mtu yule kwa uwezo mdogo.

Acha aendelee kumtumikia Lissu na wenzake kuliko kuwa mwalimu, sababu angetuharibia watoto wetu kwa uvutaji bangi na ubishi wa hovyo.

Heche, mdogo wangu wewe, acha ujinga na utulie. Kupayuka hovyo kuna majuto mbele.
SAWA ila tatizo lako ni kubwa Moja tu Asset pekee unayoitegemea kujikimu kimaisha ni tundu lako la nyuma
 
Kwanza sielewi maana yako ya utambulisho huo wa kiimani yako ndio msukumo wa hii mada, au unazo fikra huru za kuzungumzia maswala ya aina hii bila ya kilevi cha hizo imani unazozitanguliza mbele.
Mistari yako miwili hao juu inanionyesha kwamba mada yako hii ni ya kiuuzi.
Tunaweza kujadiliana mada kwa hoja ukitaka,ukija hapa kwa hasira ntakushangaa mtu mwenye I'd kongwe kama hii kushindwa kuelewa tafsiri ya neno asalam aleykum
 
Nimekwisha malizana na wewe.
Ukitaka ligi ya kilevi na mimi, subiri nami nikaate kilevi ili tuwe kwenye ulingo ulio sawa.
 
Uje tujadili nadharia za uchumi zitufaazo kama ni Schumpeterian au Marxian
 
Asalam aleykum, kwa Waislam wenzangu.

Ninaandika haya kwa masikitiko makubwa, hii ni sababu tangu Bwana Wegesa, au maarufu kwenye siasa zake uchwara akiitwa Heche.

Mtu huyu, kwa taaluma, aliungaunga kutoka Bunda TC na kujiunga Chuo Kikuu SAUT, akapata shahada ya ualimu.

Alibahatika kupata ajira, akapangwa kituoni. Yeye akafika kwa Mkurugenzi na kutaka apangwe mjini, kisa awe anaangalia mechi za Arsenal. Kuanzia hapo nilimshangaa mtu yule kwa uwezo mdogo.

Acha aendelee kumtumikia Lissu na wenzake kuliko kuwa mwalimu, sababu angetuharibia watoto wetu kwa uvutaji bangi na ubishi wa hovyo.

Heche, mdogo wangu wewe, acha ujinga na utulie. Kupayuka hovyo kuna majuto mbele.
Hivi wewe kwa Uzi huu wewe ukiitwa MPUUZI na KUBWA JINGA watu watakuwa wamekosea??🤔🤔
 
Ambazo mmewaibia wenzenu wa Zanzibar

..Jaji Mzanzibari.

..wanaoshitaki Wazanzibari.

..mawakili wa utetezi Wazanzibari.

..mtuhumiwa ambaye ni Mtanganyika sidhani kama atapata haki.

NB:

..Mama Komu na mwenzake walihusika na ktk kufanya mgao wa rasilimali wanaoulalamikia.
 
Asalam aleykum, kwa Waislam wenzangu.

Ninaandika haya kwa masikitiko makubwa, hii ni sababu tangu Bwana Wegesa, au maarufu kwenye siasa zake uchwara akiitwa Heche.

Mtu huyu, kwa taaluma, aliungaunga kutoka Bunda TC na kujiunga Chuo Kikuu SAUT, akapata shahada ya ualimu.

Alibahatika kupata ajira, akapangwa kituoni. Yeye akafika kwa Mkurugenzi na kutaka apangwe mjini, kisa awe anaangalia mechi za Arsenal. Kuanzia hapo nilimshangaa mtu yule kwa uwezo mdogo.

Acha aendelee kumtumikia Lissu na wenzake kuliko kuwa mwalimu, sababu angetuharibia watoto wetu kwa uvutaji bangi na ubishi wa hovyo.

Heche, mdogo wangu wewe, acha ujinga na utulie. Kupayuka hovyo kuna majuto mbele.
Unapata faida gani unapomtukana?

Amandla...
 
..Jaji Mzanzibari.

..wanaoshitaki Wazanzibari.

..mawakili wa utetezi Wazanzibari.

..mtuhumiwa ambaye ni Mtanganyika sidhani kama atapata haki.

NB:

..Mama Komu na mwenzake walihusika na ktk kufanya mgao wa rasilimali wanaoulalamikia.
Ndio maana wamestuka,hata tapeli lissu hana habari na znz
 
Asalam aleykum, kwa Waislam wenzangu.

Ninaandika haya kwa masikitiko makubwa, hii ni sababu tangu Bwana Wegesa, au maarufu kwenye siasa zake uchwara akiitwa Heche.

Mtu huyu, kwa taaluma, aliungaunga kutoka Bunda TC na kujiunga Chuo Kikuu SAUT, akapata shahada ya ualimu.

Alibahatika kupata ajira, akapangwa kituoni. Yeye akafika kwa Mkurugenzi na kutaka apangwe mjini, kisa awe anaangalia mechi za Arsenal. Kuanzia hapo nilimshangaa mtu yule kwa uwezo mdogo.

Acha aendelee kumtumikia Lissu na wenzake kuliko kuwa mwalimu, sababu angetuharibia watoto wetu kwa uvutaji bangi na ubishi wa hovyo.

Heche, mdogo wangu wewe, acha ujinga na utulie. Kupayuka hovyo kuna majuto mbele.
Unabeua mashudu,wewe siyo level ya heche
 
Hua unafikiria ukiwa unaandika au
 
Back
Top Bottom