Chaaaiiii kweli chawa hamna akiliHeche saivi angalau anaibia sana nyumbu,ameanzisha shamba la mifugo iringa na akawa anajisifu kuwa mda si mrefu atampindua lissu
Dogo,heche pale kwao baba yao si alikuwa muuza magendo boda wakati huo mzee wangu akiwa afisa wa kawaida pale sirari,walikuwa na maland rover ya kubebea sukari za wiziNo research no right to speak, ungemjua kwanza heche na sababu za kuacha kazi uje hapa sio unakuja na vihadithi kutoka kwa wazaramo juu ya heche😀😀😀 akili huna wewe
Kuunga unga ndo nini ?
Nyumbu wewe fuata mkumboChaaaiiii kweli chawa hamna akili
You know nothing about biashara ya magendo, unahisi magendo ni wizi mariner zakoDogo,heche pale kwao baba yao si alikuwa muuza magendo boda wakati huo mzee wangu akiwa afisa wa kawaida pale sirari,walikuwa na maland rover ya kubebea sukari za wizi
Takwimu zinaonesha sisi ni wengi,na tutawaonesha nguvu yetu.Eti waislam wenzangu, sio kila mtu Muslim humu, udini peleka kwa wapuuzi wenzako
Ni kulamba sio kurambaWewe na waliokuleta duniani ni zaidi ya nyumbu maana hata nyumbu ana afazali anajitafutia mwenyewe, sasa wewe walikuleta duniani wakashindwa kujitafuta ili wakulee vizuri usiwe chawa wa kuramba watu makalio upate kula,
Udini unawamaliza, na hizo akili za madrasa sina uhakika kuna nguvu mtakayoonyesha zaidi ya kukariri tuuTakwimu zinaonesha sisi ni wengi,na tutawaonesha nguvu yetu.
Alafu Mbowe akawadanganya waingie unyumbuni.
AAAAISEEEE!Asalam aleykum, kwa Waislam wenzangu.
Ninaandika haya kwa masikitiko makubwa, hii ni sababu tangu Bwana Wegesa, au maarufu kwenye siasa zake uchwara akiitwa Heche.
Mtu huyu, kwa taaluma, aliungaunga kutoka Bunda TC na kujiunga Chuo Kikuu SAUT, akapata shahada ya ualimu.
Alibahatika kupata ajira, akapangwa kituoni. Yeye akafika kwa Mkurugenzi na kutaka apangwe mjini, kisa awe anaangalia mechi za Arsenal. Kuanzia hapo nilimshangaa mtu yule kwa uwezo mdogo.
Acha aendelee kumtumikia Lissu na wenzake kuliko kuwa mwalimu, sababu angetuharibia watoto wetu kwa uvutaji bangi na ubishi wa hovyo.
Heche, mdogo wangu wewe, acha ujinga na utulie. Kupayuka hovyo kuna majuto mbele.
Kwahiyo umejiunga leo kuja kutetea chama chako kinacho elekea kuzama?Dogo sasa nijibu nini wakati ni kweli Rais Samia hajapita Fm6
Lakini uislamu ni upendoUdini unawamaliza, na hizo akili za madrasa sina uhakika kuna nguvu mtakayoonyesha zaidi ya kukariri tuu
Mimi sio Chadema kinachokufa,mimi niko kuitetea ccmKwahiyo umejiunga leo kuja kutetea chama chako kinacho elekea kuzama?
Kajiunga mchana wa leo...anahitaji kuhurumiwaNyumbu mamako mzazi.
Asalam aleykumAAAAISEEEE!
Umetusaidia sana hata sisi wengine ambao tulikuwa hatufahamu 'background' ya huyu kiongozi wa CHADEMA; ila tulifuatilia na kuona kwa uhalisia uwezo wake uwanjani.
Hiyo 'bachkground' yake inatosha kabisa kumfanya kuwa kiongozi wa kuheshimika mbele ya jamii hii ya kiTanzania..
Nadhani, ia usisahau kwamba huyu mtu alisha wahi kuwa Mbunge, au siyo? Mbona rekodi yake huko hukuona kuwa ya muhimu kuiongeza kwenye maelezo yako hao ili watu wajiamrie wenyewe juu ya uwezo alio nao huyu Wegesa!
John Heche, amejiambanua vizuri sana kuwa kiongozi wa kutegemewa, katika muda huu mfui alioachiwa majukumu ya kukiongoza chama chao, tena katika mazingira magumu sana.
Kwahiyo sina haki kutumia jf?Kajiunga mchana wa leo...anahitaji kuhurumiwa
Kwa muktadha wa elimu,tunasema wote ni zero,lkn kwa common sense tutasema mama alijitambua kuliko mboye nyumbu mkuu..Mbowe alipata zero form 6.
..Maza alipata zero form 4.
..kati ya Mbowe na Maza yupi amezidi mwenzake elimu?