Katibu Mkuu
JF-Expert Member
- Jul 16, 2025
- 489
- 119
- Thread starter
- #21
Kama CHADEMA ni kweliOkay basi hii pia ni nchi ya kuunga unga

Dogo mimi sio chawa,wewe huna unalojua unadanganywa na lema na lissu na wenzake utapotea.Katibu Mkuu chawa karibia na kunguni aione kwenye jalada
Yaan unapata vistori vya juu juu achana naye endelea kulamba matako ya watu upate kula heche ni chuma kingine wewe fuatilia hata aliesoma kwa heche akaajiriwa akakaa kwenye ajira bahati mbaya humjui bwabwaja tuBaba yake yule muuza magendo boda ya sirari,
The same as John Heche chuma yenye inawapa headache.....wakati unaandika kaungaunga ulikuwa umeshikishwa? Au ulikuwa unaponda niniDogo sasa nijibu nini wakati ni kweli Rais Samia hajapita Fm6
Unavoitwa dogo unapowabebea mikoba wanashuka kwenye gari basi unahisi wote dogo kama ulivo na akili ndogoDogo mimi sio chawa,wewe huna unalojua unadanganywa na lema na lissu na wenzake utapotea.
Endelea kugawa tu,mwenzio Lissu ana mkeThe same as John Heche chuma yenye inawapa headache.....wakati unaandika kaungaunga ulikuwa umeshikishwa? Au ulikuwa unaponda nini
Kwani nyie chadema mnapigania ubepari wa aina gani?Mpaka hapo sina haja ya kuendelea kujibizana nawe, siasa haumo, kiuchumi haumo, sasa tunaongea nini
Kitu nkmegundua wewe hauna chochote kiuchumi unategemea sana uchawa mkono uende kinywani, siasa ni mtupu kichwani basi tu umekurupuka. Nakusamehe tu bureKwani nyie chadema mnapigania ubepari wa aina gani?
Umeandika kama mtu aliyeudhuria madrasa tuu shule noAsalam aleykum, kwa Waislam wenzangu.
Ninaandika haya kwa masikitiko makubwa, hii ni sababu tangu Bwana Wegesa, au maarufu kwenye siasa zake uchwara akiitwa Heche.
Mtu huyu, kwa taaluma, aliungaunga kutoka Bunda TC na kujiunga Chuo Kikuu SAUT, akapata shahada ya ualimu.
Alibahatika kupata ajira, akapangwa kituoni. Yeye akafika kwa Mkurugenzi na kutaka apangwe mjini, kisa awe anaangalia mechi za Arsenal. Kuanzia hapo nilimshangaa mtu yule kwa uwezo mdogo.
Acha aendelee kumtumikia Lissu na wenzake kuliko kuwa mwalimu, sababu angetuharibia watoto wetu kwa uvutaji bangi na ubishi wa hovyo.
Heche, mdogo wangu wewe, acha ujinga na utulie. Kupayuka hovyo kuna majuto mbele.
Asalam aleykum, kwa Waislam wenzangu.

Dah! Hata kama hatumpendi Heche tujitahidi kujenga hoja zenye ujazo. Kuhusu elimu sijaona alivyounga maana kutoka Bunda TC na Diploma kisha kujiunga Bachelor degree SAUT si ndo utaratibu ulivyo? Kuwa kwenye nafasi aliyopo Heche pia sio jambo dogo. Huko CHADEMA pia kuna vigogo walioitaka hiyo nafasi ila Heche akawazidi kete. Ikumbukwe kwa nafasi ya Heche tayari yuko kwenye INNER CIRCLE YA WANUFAIKA WA RUZUKU NA MICHANGO YA NYUMBU.Asalam aleykum, kwa Waislam wenzangu.
Ninaandika haya kwa masikitiko makubwa, hii ni sababu tangu Bwana Wegesa, au maarufu kwenye siasa zake uchwara akiitwa Heche.
Mtu huyu, kwa taaluma, aliungaunga kutoka Bunda TC na kujiunga Chuo Kikuu SAUT, akapata shahada ya ualimu.
Alibahatika kupata ajira, akapangwa kituoni. Yeye akafika kwa Mkurugenzi na kutaka apangwe mjini, kisa awe anaangalia mechi za Arsenal. Kuanzia hapo nilimshangaa mtu yule kwa uwezo mdogo.
Acha aendelee kumtumikia Lissu na wenzake kuliko kuwa mwalimu, sababu angetuharibia watoto wetu kwa uvutaji bangi na ubishi wa hovyo.
Heche, mdogo wangu wewe, acha ujinga na utulie. Kupayuka hovyo kuna majuto mbele.
Sijasahau bwana JokaKuu a.k.a Boniyai ndio maana nimekubali
Mechi za Arsenal si zinachezwa Ulaya. Au sema alitaka apangiwe kazi Uingereza??!!Asalam aleykum, kwa Waislam wenzangu.
Ninaandika haya kwa masikitiko makubwa, hii ni sababu tangu Bwana Wegesa, au maarufu kwenye siasa zake uchwara akiitwa Heche.
Mtu huyu, kwa taaluma, aliungaunga kutoka Bunda TC na kujiunga Chuo Kikuu SAUT, akapata shahada ya ualimu.
Alibahatika kupata ajira, akapangwa kituoni. Yeye akafika kwa Mkurugenzi na kutaka apangwe mjini, kisa awe anaangalia mechi za Arsenal. Kuanzia hapo nilimshangaa mtu yule kwa uwezo mdogo.
Acha aendelee kumtumikia Lissu na wenzake kuliko kuwa mwalimu, sababu angetuharibia watoto wetu kwa uvutaji bangi na ubishi wa hovyo.
Heche, mdogo wangu wewe, acha ujinga na utulie. Kupayuka hovyo kuna majuto mbele.
Unanisamehe nimekosa nini nyumbu.Kitu nkmegundua wewe hauna chochote kiuchumi unategemea sana uchawa mkono uende kinywani, siasa ni mtupu kichwani basi tu umekurupuka. Nakusamehe tu bure
Alitaka apangwe mjini,na ushamba wake wa kikuryaMechi za Arsenal si zinachezwa Ulaya. Au sema alitaka apangiwe kazi Uingereza??!!
Alafu Mbowe akawadanganya waingie unyumbuni...Lissu, Heche, Boniyai, wote wamepata kuhudumu kama waalimu.
Hata nakuhurumia maana maisha yenyewe tia maji tia maji alafu unajitutumua kumuongelea heche chaaiiii shame on youUnanisamehe nimekosa nini nyumbu.
Wewe jiandae kukinukisha ukutane na mafweleHata nakuhurumia maana maisha yenyewe tia maji tia maji alafu unajitutumua kumuongelea heche chaaiiii shame on you
No research no right to speak, ungemjua kwanza heche na sababu za kuacha kazi uje hapa sio unakuja na vihadithi kutoka kwa wazaramo juu ya heche😀😀😀 akili huna weweAlitaka apangwe mjini,na ushamba wake wa kikurya
We ndio nimekuona mahakamani jana na kapicha haka,acha ujinga.