900 Itapendeza zaidi
JF-Expert Member
- Nov 19, 2017
- 9,485
- 11,556
Maza anaelimu ya hapa na pale kama ya Erick shigongoKuunga unga ndo nini ?
Maza anaelimu ya hapa na pale kama ya Erick shigongoKuunga unga ndo nini ?
Na lemaMaza anaelimu ya hapa na pale kama ya Erick shigongo
Ndio maana wamestuka,hata tapeli lissu hana habari na znz
Kwa kusema ana elimu ya kuunga unga? Kuwa alitaka akae mjini ili aweze kuangalia mechi za Arsenal? Kuwa ni mvuta mbangi? Nia ya kuyasema yote haya ni kumdhalilisha. Kwenye hilo la bangi unasahau kuwa aliyeimba wimbo wa "One Love" alikuwa Robert Nesta Marley mtumiaji mzuri wa majani au herbs.Mimi simtukani bwana heche nimeandika kuwasaidieni mjue anavyoitumia cdm kujinufaisha
Kuwatetea ni jambo moja lkn kinachotetewa kina uhalali?..hakuna mwanasiasa Mtanganyika anawapenda Wazanzibari, na amewatetea kama Tundu Lissu.
..unakumbuka kilichotokea bungeni wakati wa sakata la ushindi wa Maalim Seif uliopinduliwa na Mzee Jecha?
..umesahau kwamba Lissu ndio aliongoza mgomo wa hotuba ya Magufuli huku Zitto Kabwe akikataa kuwaunga mkono wenzake?
..kuna Mtanganyika zaidi ya Tundu Lissu amewatetea Wazanzibari waliouawa katika nyakati mbalimbali kama wakina Abdulah Kassim Hanga, Mdungi Ussi, Azizi Twala, na wengine?
..umesahau kesi iliyomuandama Lissu na wahariri ilihusu yeye kutetea haki ya Wazanzibari walioporwa uchaguzi?
..Naweza kusema mambo mengi mazuri ambayo Lissu amewatetea Wazanzibari lakini kwa leo tukomee hapa.
Ndio tabia yake,wanatukana sana,hivi Suzi kiwanga ni wakumtukana vile,ndio maana nasema heche hakupaswa kuwa mwalimIla Heche nae alikosea sana alipomponda Suzan Kiwanga kwa kuwa mama wa nyumbani aliyekuwa anaishi katika nyumba ya kupanga.
Amandla...
Ni sawa,nawewe mseme mambo kwa hojaKwa kusema ana elimu ya kuunga unga? Kuwa alitaka akae mjini ili aweze kuangalia mechi za Arsenal? Kuwa ni mvuta mbangi? Nia ya kuyasema yote haya ni kumdhalilisha. Kwenye hilo la bangi unasahau kuwa aliyeimba wimbo wa "One Love" alikuwa Robert Nesta Marley mtumiaji mzuri wa majani au herbs.
Mpingeni kwa hoja, sio kwa kuchafuana.
Amandla...
Wewe na nani,ishi maisha yakoTuko busy na press mkuu hayo mengine baadae
Kutokana na haya machache niliyo soma kwenye mada yako hii, nina hakika kabisa huna uwezo wa kujadili chochote cha maana, nje ya hiyo imani yako inayokupa msukumo hapa.Uje tujadili nadharia za uchumi zitufaazo kama ni Schumpeterian au Marxian
Sawa mkuu ila nikukumbushe vilevile ishi maisha yako ya wengine uyaaache ( Heche ) piaWewe na nani,ishi maisha yako
Mdungi Ussi alieneza vipi siasa za chuki za kiimani? Na lini aliandika kwenye gazeti la Tanzania Daima? Au unayemzungumzia sio yule wa wakina Kassim Hanga?Kuwatetea ni jambo moja lkn kinachotetewa kina uhalali?
Mdungi alikuwa anaeneza chuki za kiimani,wakati anaandika ile makala kwenye gazeti la Tz Daima alitumia lugha mbaya yenye uchochezi
Hivyo,Lissu ni mtu asiyeweza kujenga hoja za maendeleo isipokuwa kutetea watu wanaotaka kuangamiza nchi.
Hiyo ni hulka ya Mzee Lissu
Huyo ni kiongozi akipinda ananyooshwaSawa mkuu ila nikukumbushe vilevile ishi maisha yako ya wengine uyaaache ( Heche ) pia
Wananchi wanachangia Kwa hiari Yao,nyie c mnakula Kodi za ufisadiSawa tu,nyie simnashiba makuku ya tone tone na lema
Ni ushauri mzuri sote tukiufuataNi sawa,nawewe mseme mambo kwa hoja
Ooh namaanisha kesi ya Lissu ile ya tz daima ila heading ile nimeisahau.Mdungi Ussi alieneza vipi siasa za chuki za kiimani? Na lini aliandika kwenye gazeti la Tanzania Daima? Au unayemzungumzia sio yule wa wakina Kassim Hanga?
Amandla..