John Heche: Mwalimu anayestahili kuwa nje ya Ualimu

Bora huyu historia yake ya elimu inajulikana,alitoka bunda diploma,baadae SAUT,tuambie elimu ya mzanzibar basi,baada ya kupata divion four alienda wapi Hadi kupata doctorate uchwara
Wewe hujui alienda england
 
Asalam aleykum, kwa Waislam wenzangu.

Ninaandika haya kwa masikitiko makubwa, hii ni sababu tangu Bwana Wegesa, au maarufu kwenye siasa zake uchwara akiitwa Heche.

Mtu huyu, kwa taaluma, aliungaunga kutoka Bunda TC na kujiunga Chuo Kikuu SAUT, akapata shahada ya ualimu.

Alibahatika kupata ajira, akapangwa kituoni. Yeye akafika kwa Mkurugenzi na kutaka apangwe mjini, kisa awe anaangalia mechi za Arsenal. Kuanzia hapo nilimshangaa mtu yule kwa uwezo mdogo.

Acha aendelee kumtumikia Lissu na wenzake kuliko kuwa mwalimu, sababu angetuharibia watoto wetu kwa ya ubishi wa hovyo.

Heche, mdogo wangu wewe, acha ujinga na utulie. Kupayuka hovyo kuna majuto mbele.
UJumbe wako hasa ni upi hasa?
 
Nyerere aliyeacha ualimu na kuingia kwenye siasa nae tumtambuaje?

Mbona unaongea kama huna ma_ri_nda Chief,nini shida ?

Sababu yako yametatuka kwa baiskeli kijijini unahisi wote ni hivyo
 
Nafanya kazi za ofisi sio kama wewe hata pale mikocheni hukuwahi fika,uliishia ufipa ambapo hata choo hakuna
Kufanya kazi za ofisi ndiyo unaona maisha umeyapatia eh? Wenzako sisi tumejiajiri wewe unashangilia utumwa wa kuajiriwa kuwa chawa, mshamba kweli wewe.
 
Kwani kujiajiri ndio nini,endelea kujiajiri kwa bidii
 
Yani leo mmkeuwa mashabiki wa gwajima na polepole kweli nyie ndio wale zito huwaita mazwazwa
Kwani Mzito Kablwela ni nani huyo,au ndio mliotolewa mapangoni sasa mnatapatapa huku kwenye mwanga,vumbi na moshi alioiwasha slowslow.
 
Hapana ualimu haulipi kuliko wizi wa tonetone
Nashukuri kama umelitambua hili. Pia kumbuka Heche alishakula mshahara wa mil 12 kila mwezi kwa miaka mitano akiwa Mbunge na Kuna mgongo Cha Mil 270 baada ya kumaliza miaka yake mitano ya Ubunge. Kiasi hicho Mwl hawezi kupata hata robo yake hata akifanya kazi miaka 30. Pia Heche anakuka mshahara wa CHAMA kama Makamu Mwenyekiti. Ukijumlisha na tonetone anaweza kumnunua mama yako Kwa baba yako ukaja kumuuita Heche baba wa kambo😀😀😀😀
 
Back
Top Bottom