John Heche: Mwalimu anayestahili kuwa nje ya Ualimu

John Heche: Mwalimu anayestahili kuwa nje ya Ualimu

Nashukuri kama umelitambua hili. Pia kumbuka Heche alishakula mshahara wa mil 12 kila mwezi kwa miaka mitano akiwa Mbunge na Kuna mgongo Cha Mil 270 baada ya kumaliza miaka yake mitano ya Ubunge. Kiasi hicho Mwl hawezi kupata hata robo yake hata akifanya kazi miaka 30. Pia Heche anakuka mshahara wa CHAMA kama Makamu Mwenyekiti. Ukijumlisha na tonetone anaweza kumnunua mama yako Kwa baba yako ukaja kumuuita Heche baba wa kambo😀😀😀😀
Vema kutambua kuwa heche anapiga mpunga wa tonetone,shtua nyumbu wenzako mnapotea
 
Kama nimekuwa katibu mkuu,angalau kuliko wewe nyumbu anaetoa hela ili heche anunue mifugo shambani kwake
Kuanza kuringishia vyeo huo ni ushamba na ukilaza, kwa hiyo kujiita Katibu Mkuu ndiyo umekuwa Nchimbi? Wewe kidampa tu hata hakujui mtu, wenye CCM yao hawana haja ya kujitangaza humu. Aibu yako hii.
 
Wale walikuwa wadini sana,unajua mambo ya udini yananguvu sana,na wale watu wa uamsho waliongia kwa mgongo huo na lissu sidhani kama alielewa au alitaka political milage
Kasome upya historia ya Zanzibar ndio utawajua hao ambao JokaKuu alikuwa anawazungumzia. Hawakuhusika kabisa na mambo ya uamsho.

Amandla...
 
Asalam aleykum, kwa Waislam wenzangu.

Ninaandika haya kwa masikitiko makubwa, hii ni sababu tangu Bwana Wegesa, au maarufu kwenye siasa zake uchwara akiitwa Heche.

Mtu huyu, kwa taaluma, aliungaunga kutoka Bunda TC na kujiunga Chuo Kikuu SAUT, akapata shahada ya ualimu.

Alibahatika kupata ajira, akapangwa kituoni. Yeye akafika kwa Mkurugenzi na kutaka apangwe mjini, kisa awe anaangalia mechi za Arsenal. Kuanzia hapo nilimshangaa mtu yule kwa uwezo mdogo.

Acha aendelee kumtumikia Lissu na wenzake kuliko kuwa mwalimu, sababu angetuharibia watoto wetu kwa ya ubishi wa hovyo.

Heche, mdogo wangu wewe, acha ujinga na utulie. Kupayuka hovyo kuna majuto mbele.
Wewe ungekuwa umevaa nafasi yake ya Makamu Mwenyekiti ktk chama cha siasa ungezungumza maneno gani tofauti na anayozungumza?

* Kukataa kwake kufanya kazi kijijini ni kosa gani kisheria?

* Wewe mbn mama yako alikataa u-nurse akaenda kuolewa - naye unamlaumu?
 
Kuanza kuringishia vyeo huo ni ushamba na ukilaza, kwa hiyo kujiita Katibu Mkuu ndiyo umekuwa Nchimbi? Wewe kidampa tu hata hakujui mtu, wenye CCM yao hawana haja ya kujitangaza humu. Aibu yako hii.
Sasa nifanyeje,kama hutaki ni sawa pia,unadhani ukatibu mkuu ni mchezo,tunamsaidia mama,hapa naona dereva yuko nje naenda zangu nyumbani,kesho tunazindua dira.endelea kumshabikia heche
 
Wewe ungekuwa umevaa nafasi yake ya Makamu Mwenyekiti ktk chama cha siasa ungezungumza maneno gani tofauti na anayozungumza?

* Kukataa kwake kufanya kazi kijijini ni kosa gani kisheria?

* Wewe mbn mama yako alikataa u-nurse akaenda kuolewa - naye unamlaumu?
Kumbe wewe ni mjinga hivi,nurse ni mama yako huko kijijini kwenu,Mama yangu aliajiriwa wizara ya ushirika mwaka 1976 nadhani baba yako wakat huo alikuwa anashindia ubuyu shamba
 
Vema kutambua kuwa heche anapiga mpunga wa tonetone,shtua nyumbu wenzako mnapotea
Nani kakiambia Mimi nyumbu? Unataka nikatwe na KAMATI ya SIASA?

Mimi nilikuwa nakuroa kwenye akili kwamba ajira ya ualimu inalipa kuliko SIASA. Kama wewe ni mwl achana na kazi kagombee hata udiwani tu
 
Nani kakiambia Mimi nyumbu? Unataka nikatwe na KAMATI ya SIASA?

Mimi nilikuwa nakuroa kwenye akili kwamba ajira ya ualimu inalipa kuliko SIASA. Kama wewe ni mwl achana na kazi kagombee hata udiwani tu
Nitoke wizarani hadi udiwani,hapana naelekea ubalozini
 
Kumbe wewe ni mjinga hivi,nurse ni mama yako huko kijijini kwenu,Mama yangu aliajiriwa wizara ya ushirika mwaka 1976 nadhani baba yako wakat huo alikuwa anashindia ubuyu shamba
Basi mama yako alijitesa bure kubeba mimba yako. Bora ingeharibika kuliko Taifa kuwa Mbumbumbu kama wewe,😡😡
 
Sasa nifanyeje,kama hutaki ni sawa pia,unadhani ukatibu mkuu ni mchezo,tunamsaidia mama,hapa naona dereva yuko nje naenda zangu nyumbani,kesho tunazindua dira.endelea kumshabikia heche
Kumbe mtu mwenyewe mshamba na kilaza sasa kama dereva anakusubiri ndiyo tukuogope? Siku zote debe tupu haliachi kupiga kelele. Huyo mamako unayemsaidia amekuwa mlemavu?😄😄😄
 
Elimu yakujitambua anayoitoa Heche kwa wananchi ili wawe raia wanaozingatia maslahi mapana ya Taifa lao na kufuatilia mambo yanayohusu Taifa lao, aendelee kuitoa maanaa kila mwenye akili timamu anaunga mkono.

ndani ya mitaa ya Fallujah - Iraq.
 
Uchaguzi ukiwa free and fair,Heche akisimama na Maza,Heche anaingia Ikulu ya Chamwino asubuhi.
 
Nyerere aliyeacha ualimu na kuingia kwenye siasa nae tumtambuaje?

Mbona unaongea kama huna ma_ri_nda Chief,nini shida ?

Nyerere aliyeacha ualimu na kuingia kwenye siasa nae tumtambuaje?

Mbona unaongea kama huna ma_ri_nda Chief,nini shida ?
Una hakika anayo marinda huyo chocolate?
 
Back
Top Bottom