John Heche: Mwalimu anayestahili kuwa nje ya Ualimu

Asalam aleykum, kwa Waislam wenzangu.

Ninaandika haya kwa masikitiko makubwa, hii ni sababu tangu Bwana Wegesa, au maarufu kwenye siasa zake uchwara akiitwa Heche.

Mtu huyu, kwa taaluma, aliungaunga kutoka Bunda TC na kujiunga Chuo Kikuu SAUT, akapata shahada ya ualimu.

Alibahatika kupata ajira, akapangwa kituoni. Yeye akafika kwa Mkurugenzi na kutaka apangwe mjini, kisa awe anaangalia mechi za Arsenal. Kuanzia hapo nilimshangaa mtu yule kwa uwezo mdogo.

Acha aendelee kumtumikia Lissu na wenzake kuliko kuwa mwalimu, sababu angetuharibia watoto wetu kwa ya ubishi wa hovyo.

Heche, mdogo wangu wewe, acha ujinga na utulie. Kupayuka hovyo kuna majuto mbele.
Si afadhali huyu kuliko yule ambaye hakuwahi kuona mlango wa chuo lakini....
 
Asalam aleykum, kwa Waislam wenzangu.

Ninaandika haya kwa masikitiko makubwa, hii ni sababu tangu Bwana Wegesa, au maarufu kwenye siasa zake uchwara akiitwa Heche.

Mtu huyu, kwa taaluma, aliungaunga kutoka Bunda TC na kujiunga Chuo Kikuu SAUT, akapata shahada ya ualimu.

Alibahatika kupata ajira, akapangwa kituoni. Yeye akafika kwa Mkurugenzi na kutaka apangwe mjini, kisa awe anaangalia mechi za Arsenal. Kuanzia hapo nilimshangaa mtu yule kwa uwezo mdogo.

Acha aendelee kumtumikia Lissu na wenzake kuliko kuwa mwalimu, sababu angetuharibia watoto wetu kwa ya ubishi wa hovyo.

Heche, mdogo wangu wewe, acha ujinga na utulie. Kupayuka hovyo kuna majuto mbele.
Takataka wewe na ndg zako kobaz uliowasalimia hapo mwanzo
 
JOHN HECHE , Ndo aina ya walimu ambao wamelijengea heshima kubwa Taifa hili ,sio wa sasa ,zamani Mwalimu anaheshimika sana , jamii inajua huyu ni mwalimu Flani , sio sasa walimu wanavaa milegezo na vimini , uza mandazi shule, nakumbuka mwalimu wangu mmoja wa primary ndo alikua ametoka depo jkt miaka iyo , kipindi icho mchamchaka shuleni upo, e bwana naona ni kama walikua wanaambiwa mwendapo huko shule za msingi watoto pia wawe depo.

Alipenda kiitikio cha panya ni panya panya , sasa ole wako vuruga mstari ,e bwana , ukisikia wiki hii zam ya mwl Horede , jua ni wiki ya kuimba panya ni panya panya
 
Kuwatetea ni jambo moja lkn kinachotetewa kina uhalali?

Mdungi alikuwa anaeneza chuki za kiimani,wakati anaandika ile makala kwenye gazeti la Tz Daima alitumia lugha mbaya yenye uchochezi

Hivyo,Lissu ni mtu asiyeweza kujenga hoja za maendeleo isipokuwa kutetea watu wanaotaka kuangamiza nchi.

Hiyo ni hulka ya Mzee Lissu

..Mdungi Ussi, Aziz Twala, Abdullah Kassim Hanga, na wengine, ni Wazanzibari waliopotezwa na utawala wa Sheikh Abeid Karume.
 
JOHN HECHE , Ndo aina ya walimu ambao wamelijengea heshima kubwa Taifa hili ,sio wa sasa ,zamani Mwalimu anaheshimika sana , jamii inajua huyu ni mwalimu Flani , sio sasa walimu wanavaa milegezo na vimini , uza mandazi shule, nakumbuka mwalimu wangu mmoja wa primary ndo alikua ametoka depo jkt miaka iyo , kipindi icho mchamchaka shuleni upo, e bwana naona ni kama walikua wanaambiwa mwendapo huko shule za msingi watoto pia wawe depo.

Alipenda kiitikio cha panya ni panya panya , sasa ole wako vuruga mstari ,e bwana , ukisikia wiki hii zam ya mwl Horede , jua ni wiki ya kuimba panya ni panya panya
Sasa ndio nini wakati aliishia umasikini,uchumi wa sasa ni wa kibepari hauko imara unapotea,hivyo kuuza karanga kwa waalimu ni kasi ya kuendana na ubepari,huko chadema mnafundishwa kushangaa hovyo kama nyumbu,
 
Dah! Hata kama hatumpendi Heche tujitahidi kujenga hoja zenye ujazo. Kuhusu elimu sijaona alivyounga maana kutoka Bunda TC na Diploma kisha kujiunga Bachelor degree SAUT si ndo utaratibu ulivyo? Kuwa kwenye nafasi aliyopo Heche pia sio jambo dogo. Huko CHADEMA pia kuna vigogo walioitaka hiyo nafasi ila Heche akawazidi kete. Ikumbukwe kwa nafasi ya Heche tayari yuko kwenye INNER CIRCLE YA WANUFAIKA WA RUZUKU NA MICHANGO YA NYUMBU.
Kaka 🤣
 
Mama yako wa kizimkazi alipiga "bashite" kidato cha nne ameungaunga leo hii ni daktari.

Ukitata ugomvi na kunguni wa huyo mama waulize ni daktari wa nini.
 
Back
Top Bottom