John Heche: Mwalimu anayestahili kuwa nje ya Ualimu

Sasa ndio nini wakati aliishia umasikini,uchumi wa sasa ni wa kibepari hauko imara unapotea,hivyo kuuza karanga kwa waalimu ni kasi ya kuendana na ubepari,huko chadema mnafundishwa kushangaa hovyo kama nyumbu,
Acha ushamba ,ndo mnavyowajaza walimu ujinga wa namna hii ,anaweza fanya biashara yoyote ila sio mahala pa kazi, upumbavu gani huu unaongea , yani mwalimu anaweka karanga,sijui vitumbua ,ice cream eneo la kazi , wewe enzi hizo uliyaona wapi ?

anaweza uza kwake ,dukani kwake ila sio mahali pa kazi, mtoto ananunua andazi anaulizwa na mwenzake umenunua wapi , anasema nimenunua pale za mwm flani . Huu ni upuuzi
 
..Mdungi Ussi, Aziz Twala, Abdullah Kassim Hanga, na wengine, ni Wazanzibari waliopotezwa na utawala wa Sheikh Abeid Karume.
Abdullah Hanga alikuwa anataka kurejesha hizbuh itiqad,hata wewe usingekubali
 
Sasa ndio nini wakati aliishia umasikini,uchumi wa sasa ni wa kibepari hauko imara unapotea,hivyo kuuza karanga kwa waalimu ni kasi ya kuendana na ubepari,huko chadema mnafundishwa kushangaa hovyo kama nyumbu,

..Ccm katika katiba yake inaelezwa kwamba watafuate Demokrasia na Ujamaa. Sasa wewe unasema ni Mabepari, hoja hiyo umeitoa wapi?
 
Acha ushamba ,ndo mnavyowajaza walimu ujinga wa namna hii ,anaweza fanya biashara yoyote ila sio mahala pa kazi, upumbavu gani huu unaongea , yani mwalimu anaweka karanga,sijui vitumbua ,ice cream eneo la kazi , wewe enzi hizo uliyaona wapi ?

anaweza uza kwake ,dukani kwake ila sio mahali pa kazi, mtoto ananunua andazi anaulizwa na mwenzake umenunua wapi , anasema nimenunua pale za mwm flani . Huu ni upuuzi
Upuuzi kwako ulieshiba,kipato ktk ubepari ni mapambano yasiyo na mpaka
 
..Ccm katika katiba yake inaelezwa kwamba watafuate Demokrasia na Ujamaa. Sasa wewe unasema ni Mabepari, hoja hiyo umeitoa wapi?
Ni kweli hilo jambo lina gap kubwa la wakati,limebaki kinadharia huku uchumi ukiwa umehama kiuendeshaji.ulimwengu hauwez tena kuwa sawa ktk ujamaa,ujamaa ni kinyume na binadamu na ukitaka kujua hili pitia nadharia ya Marxian economy.
 
Abdullah Hanga alikuwa anataka kurejesha hizbuh itiqad,hata wewe usingekubali

..haikuwa sawa kumpoteza Hanga na wenzake.

..wapinzani wa Nyerere walikuwa wanatiwa kizuizini, wanapelekwa mahakamani, lakini sio kuuwawa.

..kupotezana hakufai kabisa. Na sijui kwanini Ccm hawalioni hilo.
 
Ccm inalinda nchi bila kuogopa chochote
 
Nchi sio ardhi tu bali pamoja na watu, sasa unaposema unalinda watu kwa kuua, unawalinda watu gani?

Sheria iko wazi, wakosaji kuna sheria za kuwafunga na sio kuwapoteza
Unapovamiwa na adui mwenye panga huku wewe una bunduki,utafanyaje?
 
Asalam aleykum, kwa Waislam wenzangu.

Ninaandika haya kwa masikitiko makubwa, hii ni sababu tangu Bwana Wegesa, au maarufu kwenye siasa zake uchwara akiitwa Heche.

Mtu huyu, kwa taaluma, aliungaunga kutoka Bunda TC na kujiunga Chuo Kikuu SAUT, akapata shahada ya ualimu.

Alibahatika kupata ajira, akapangwa kituoni. Yeye akafika kwa Mkurugenzi na kutaka apangwe mjini, kisa awe anaangalia mechi za Arsenal. Kuanzia hapo nilimshangaa mtu yule kwa uwezo mdogo.

Acha aendelee kumtumikia Lissu na wenzake kuliko kuwa mwalimu, sababu angetuharibia watoto wetu kwa ya ubishi wa hovyo.

Heche, mdogo wangu wewe, acha ujinga na utulie. Kupayuka hovyo kuna majuto mbele.
Huyu WEGESA Charles wa SAUT (John Heche wa Chadema) aliwahi kwenda BTP shule flani akiwa SAUT. Alipofika kwa Mkuu wa Shule akajifanya mjuaji, mara sisi hatuafanya Fanya hivi Wala vile. Mara kama hatuna vipindi hatutakuja kazini na tukimaliza vipindi vyetu tunaondoka!

Mkuu wa Shule ile akamsikiliiiiza hadi akamaliza kuongea. Alipomaliza kuongea, yule Mkuu wa Shule akapiga simu kwa kodineta wa BTP wa SAUT na kumwambia, nanukuu "Nakurudushia walimu wako uwapangie shule nyingine kwani wanaonekana hawana akili Wala weledi wa kufanya BTP shuleni kwangu!" Mwisho wa kunukuu!!

Wegesa Charles wa SAUT ( John Heche wa Chadema) akaanza kubembelezwa. Mkuu wa Shule akasimika. Yeye na wenzake wakatolewa eneo la shule ile kwa msaada wa Security Guard wa Shule ile! Ahahahahaha!!!
 
Asalam aleykum, kwa Waislam wenzangu.

Ninaandika haya kwa masikitiko makubwa, hii ni sababu tangu Bwana Wegesa, au maarufu kwenye siasa zake uchwara akiitwa Heche.

Mtu huyu, kwa taaluma, aliungaunga kutoka Bunda TC na kujiunga Chuo Kikuu SAUT, akapata shahada ya ualimu.

Alibahatika kupata ajira, akapangwa kituoni. Yeye akafika kwa Mkurugenzi na kutaka apangwe mjini, kisa awe anaangalia mechi za Arsenal. Kuanzia hapo nilimshangaa mtu yule kwa uwezo mdogo.

Acha aendelee kumtumikia Lissu na wenzake kuliko kuwa mwalimu, sababu angetuharibia watoto wetu kwa ya ubishi wa hovyo.

Heche, mdogo wangu wewe, acha ujinga na utulie. Kupayuka hovyo kuna majuto mbele.
Sawa tumekusikia mtoto shoga wa kahaba maushungi toka zenji
 
Handle yako ya siku zote ipo wapi ? Halafu elimu yako umeishia la ngapi ? Maana kwa mwandiko huu umemaliza juzuu zote lakini la Saba haujafika.
 
Back
Top Bottom