John Heche: Mwalimu anayestahili kuwa nje ya Ualimu

John Heche: Mwalimu anayestahili kuwa nje ya Ualimu

Heche ni mtu wa hovyo sana.Alikuwa anagombana sana na walimu wenzake
Ni mlevi na mgomvi,hata kwake tunasikia makelele kila siku na mke wake,mkewe akamwambia kazi yake kulewa tu lkn malipo ya ada anakwama
 
Ni vizuri ukajibu swali sio kuibua vihoja. Heche anajulikana na mambo yake hakuna shaka juu ya hilo, je wewe ni nani?.
Mimi ni mtendaji wa wizara,nimepanda cheo sababu ya kuitumikia vema nchi yangu
 
Mimi ni mtendaji wa wizara,nimepanda cheo sababu ya kuitumikia vema nchi yangu
Mtendaji wa wizara hategemewi kua na uwezo mdogo hivi wa kufikiri. Jipe umuhimu TU😡vijana wengi walistuka TU washaharibiwa sababu ya shobo.
 
Asalam aleykum, kwa Waislam wenzangu.

Ninaandika haya kwa masikitiko makubwa, hii ni sababu tangu Bwana Wegesa, au maarufu kwenye siasa zake uchwara akiitwa Heche.

Mtu huyu, kwa taaluma, aliungaunga kutoka Bunda TC na kujiunga Chuo Kikuu SAUT, akapata shahada ya ualimu.

Alibahatika kupata ajira, akapangwa kituoni. Yeye akafika kwa Mkurugenzi na kutaka apangwe mjini, kisa awe anaangalia mechi za Arsenal. Kuanzia hapo nilimshangaa mtu yule kwa uwezo mdogo.

Acha aendelee kumtumikia Lissu na wenzake kuliko kuwa mwalimu, sababu angetuharibia watoto wetu kwa ya ubishi wa hovyo.

Heche, mdogo wangu wewe, acha ujinga na utulie. Kupayuka hovyo kuna majuto mbele.
Kwani kesi zimewaishia?
5fb83bfb-4fca-419f-beb5-1b3689a90c0c.jpeg
 
Unaandika haya, unakuta uko uliko unahangaika kutafuta kiefu 10 cha kupeleka matibabu nyumbani kuna mgonjwa huko, gharama za matibabu ni kubwa. Ndg yako anajifia. Kumbe ungetuliza akili, ukaona kuwa wanachopigania hawa wapinzani ni ustawi wa hata huyo nduguyo mgonjwa anayekufa kwa kushindwa kumudu gharama za matibabu.
 
Ccm inalinda nchi bila kuogopa chochote

..kulinda nchi sio tatizo.

..lakini ukumbuke kwamba hukumu zinatolewa na wanadamu.

..yanapofanyika makosa ktk kutoa hukumu ya kifo hakuna namna ya kurekebisha makosa.

..Ndio maana wote wanaotuhumiwa wanastahili kupelekwa mahakamani wakajitetee.

..Abdullah Kassim Hanga, Mdungi Ussi, Azizi Twala, na wenzao, walipaswa kufikishwa mahakamani, na sio kupotezwa.
 
Kumbe wewe ni mjinga hivi,nurse ni mama yako huko kijijini kwenu,Mama yangu aliajiriwa wizara ya ushirika mwaka 1976 nadhani baba yako wakat huo alikuwa anashindia ubuyu shamba
Kitambo utaajiriwa ktk kitengo cha matusi - rudi tu kwenye point ya msingi.

Unajua kukosoa mwenzako ni rahisi sana
 
Asalam aleykum, kwa Waislam wenzangu.

Ninaandika haya kwa masikitiko makubwa, hii ni sababu tangu Bwana Wegesa, au maarufu kwenye siasa zake uchwara akiitwa Heche.

Mtu huyu, kwa taaluma, aliungaunga kutoka Bunda TC na kujiunga Chuo Kikuu SAUT, akapata shahada ya ualimu.

Alibahatika kupata ajira, akapangwa kituoni. Yeye akafika kwa Mkurugenzi na kutaka apangwe mjini, kisa awe anaangalia mechi za Arsenal. Kuanzia hapo nilimshangaa mtu yule kwa uwezo mdogo.

Acha aendelee kumtumikia Lissu na wenzake kuliko kuwa mwalimu, sababu angetuharibia watoto wetu kwa ya ubishi wa hovyo.

Heche, mdogo wangu wewe, acha ujinga na utulie. Kupayuka hovyo kuna majuto mbele.
subiri ujibiwe na waislamu wenzako uliowasalimia
 
Back
Top Bottom