John Heche mwenyekiti mpya BAVICHA taifa

hongera kamanda , mwendo mdundo:dance:
 

Niachie mwenyewe.Labda nikuulize wewe kwanini humwamini na ukamwamini huyo wa kwako?
 
Ok nimekuelewa....kwa maana hiyo wewe uko kundi la mapacha 3 a.k.a Rachel? Na kwanini wageni waalikwa wawe Chavez,Morales nk?
Duh!..Mzee umenipatia sana hata kujibu siwezi,ngoja niende thread nyingine...umeshinda!!!
 
Mkandara kwa nini unalaumu bila kutuambia hiyo sentensi kwenye red ina udini gani? kutaja Mungu kanisaidia siku hizi ni udini mbona dua ya kuliombea bunge inasema Mungu tusaidie mbona wimbo wa taifa unataja Mungu atubariki udini uko wapi hapo, nafikiri kabla ya kuangalia kibanzi kwenye jicho la mwenzako jiangalie kwanza wewe inawezekana una hisia za udini ndiyo maana mtu akitaja Mungu tu unafikiri ni mdini.

Please tuonyeshe kwanza huo udini uko wapi kwenye hiyo statement vinginevyo tutaku regard una sababu zako.
 
Na wewe umeliona hilo inawezekana wana sababu zao labda ni za siku nyingi walikuwa wanatafuta weakpoint ili watoe dukuduku lao lakini loophole yenyewe waliyotumia iko loose.
 
Mkuu tatizo lako hupendi kuelewa na nadhani Bibie Regia kanielewa. Sikusema UDINI na wala sizungumzii Udini ktk statement ya Regia isipokuwa nimemkanya au kumuasa asipende sana kutumia imani yake ya dini kuzungumzia maswala ya chama kwa ujumla wake!..

Na labda wewe hupendi kuangalia mbali zaidi ya kauli za mtu ktk ufahamu wako lakini nitakujulisha tu kwamba sasa hivi Chadema ipo ktk wakati mgumu sana kuweza kujitenganisha tuhuma zinachokikabiri chama na sii vizuri kujiweka katika nafasi inayodhihirisha imani yako kufungamana na chama.

Unaposema:- "Lakini kwa kuwa chama hiki kina mkono wa MUNGU, MUNGU alitumia njia zake za asili kuwang'amua waliokuwa na nia mbaya."
Watu watayatafsiri maneno haya kama ndivyo wanachama wa Chadema wanavyoamini maana umekishihirisha chama na mkono wa Mungu ambao kwa njia zake huwang'amua watu wenye nia mbaya!..Haya ni maneno ya kichungaji na yanaweza kabisa kuchukuliwa kama ni kufungamana na kanisa.. Kumtaja ama kumshukuru Mungu inakubalika kwetu sisi binadamu wakati wowote ule isipokuwa kutoa uhakika wa kulindwa na Mungu ni imani ya muumini wa dini jambo ambalo mimi naweza kataa au kupinga kwamba Chadema haina mkono wa Mungu...

Wewe huoni makosa kwa sababu unaamini hivyo na ndio maana nikasema Mungu huwalinda binadamu na sio vyama vya kisiasa. Hizi ni nyenzo za za gospel ya Kaizali hivyo kumshirikisha Mungu kuweka mkono wake inaweza kutoa picha mbaya zaidi kwa waumini wa dini au madhehebu mengine...Sijui kama unakumbuka yale maneno ya mchungaji kuwa - Kikwete ni chaguo la Mungu yalivyopokelewa?...

Sasa binafsi nimeshindwa kuelewa hao waliokuwa na nia mbaya na Chadema ni kina nani? Je, ni wanaCCM au wana Chadema wale walioshindwa uchaguzi? maanake Regia katanguliza kauli hii kutokana na mtu wake kuchaguliwa wakati kuna majungu na tuhuma za Udini zilzotangulia kuenguliwa kwa baadhi ya wagombea...

Amini maneno yangu mkuu wangu kwani kuishi kwingi ni kuona mengi.. Wewe hapo ulipo huyaoni na hujawahi kuyaona haya ila utakuja yaona baada ya kutokea, na ndipo utajifunza na pengine inaweza kuwa too late ku justify kauli kama hizi..
 

Swala ni kushirikiana wapi, kwenye issue zenye maslahi kwa watanzania Sina tatizo na comments zao lakini cha kushangaza ni kuingilia mambo ndani ya CDM, kama kuwalazimisha wanaCDM wamchague mtu fulani awe mwenyekiti, au waungane nao.

Hilo ndilo tatizo langu kwa hawa jamaa.
 
Acaha kutafuta sifa za kijinga. Nani anamuda wakufuatilia uchaguzi wa uongozi wa chadema? Kweli ujinga ni mzigo.
Naona umeanza, mbona sijakutaja? una tabia hiyo nini? au nimeingilia maslahi yako?
 
sio heche kashinda sema mbowe wewe,dk slaa hamkubali heche koz anakaz yakumuandalia urais mbowe tu pale
 
Dah,siasa si hasa kweli!
me ntakua shabiki siku zote sichezi ng'o!
 
Mkuu tatizo lako hupendi kuelewa na nadhani Bibie Regia kanielewa.
Regia amekujibu hivi
Asante kwa mtazamo wako na si kila mmoja atakubalina na hoja yako.Kwa hili tunaweza kupingana mpaka asubuhi.Mi nadhani tukubaliane kutokukubaliana.I respect you alot ndio maana sitaki kubishana na wewe.

Unafurahisha sana Mkandara unasema si maneno ya udini eti ni ya kichungaji ha ha haaa, nimekuambia watu kama nyie wenye hisia za udini udini tabia zenu zinafanana nani kakuambia hayo ni maneno ya kichungaji kwa nini yasiwe maneno ya imam tuseme hujawahi kusikia imamu au shehe akisema maneno hayo kuwa 'Mungu alitumia njia zake kuwang'amua wenye nia mbaya' tena huwa wanaongeza na ya husuda, acha hizo Mkandara nafikiri kwa hili umekosa hoja ya kumpin point Regia kilichobaki ni kulazimisha tu, kwa heri.
 
Wakuu,

Habari ndio hiyo Heche amechaguliwa kuwa Mwenyekiti Taifa wa Bavicha baada ya kupata 53% ya kura zote, akiwaacha kwa mbali wagombea wengine 5,, uchaguzi umeisha alfajiri hii
Mwenye picha ya Heche atubandikie basi! nasikia ni kijana jasiri sana moyo wake wote CDM.
 
ulipotoa pochi yako wakat huo tumekutana pale nje ya frndskona hotel, nikakuuliza vp tena hyo sikadi ya kijana wa kijani kaka? na c rangi yetu ya cdm?ukanijb kaka haya maisha ya kisiasa siku inaweza ikabuma cdm c wez kuacha siasa safar itaendelea.magrit thinka mpaka leo cjui mr heche alimanisha nn na sasa kapewa hlo jukumu kubwa, narudia kuwaambia mtek kea cdm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…