Speaker
JF-Expert Member
- Aug 12, 2010
- 6,324
- 2,240
Ina tatizo gani??
Hata sikumbuki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ina tatizo gani??
Mkuu Regy,...
shikamoo kwanza na habari za siku!
Binafsi sio nilipenda mchange awe mwenyekiti,lakini kwa kua alienguliwa ina
ongeza credit kwenye imani yangu kwamba "TRUST NO POLITICIAN",...
Kwanini unaamini kwamba Heche sio msaliti?
Keep in mind kwamba kuna "professional actors " hujawahi shuhudia,unaweza
gundua ni msaliti baada ya kumaliza mission yake na sio mwanzo,...
All in all,tushukuru mwenyekiti kapatikana,anaipenda vipi chadema tutaona matokeo ya
uongozi wake,mara nyingi naona ni vyema mtu akapewa sifa mwishoni kabisa!
Naungana na wote wanao sifia mtu akifa,hapa wanakua wana fanya summation ya
ni jinsi gani mtu huyu alikua,
Heche tuta mpima uwezo wake wa uongozi na uaminifu wake kwa chama
baada ya mda wake wa uongozi kuisha!
Tulisifia viongozi wengi kweli wanapokua wanaanza kazi zao (JK kwa mfano),ila
matokeo yake ndo kama tunayo ona!
As for now,nampa support yote kufanya kazi yake vyema!
Niachie mwenyewe.Labda nikuulize wewe kwanini humwamini na ukamwamini huyo wa kwako?
Duh!..Mzee umenipatia sana hata kujibu siwezi,ngoja niende thread nyingine...umeshinda!!!Ok nimekuelewa....kwa maana hiyo wewe uko kundi la mapacha 3 a.k.a Rachel? Na kwanini wageni waalikwa wawe Chavez,Morales nk?
Mkandara kwa nini unalaumu bila kutuambia hiyo sentensi kwenye red ina udini gani? kutaja Mungu kanisaidia siku hizi ni udini mbona dua ya kuliombea bunge inasema Mungu tusaidie mbona wimbo wa taifa unataja Mungu atubariki udini uko wapi hapo, nafikiri kabla ya kuangalia kibanzi kwenye jicho la mwenzako jiangalie kwanza wewe inawezekana una hisia za udini ndiyo maana mtu akitaja Mungu tu unafikiri ni mdini.Bibie hata mimi naku respect na sidhani kama hili linahusu sana ktk kujieleza ama kujenga hoja. Kama hukubaliani nami ni vizuri kunielimisha unavyoelewa wewe ili nami nijipime ktk maelezo yangu. Pengine fafanua haya maneno yako ulikuwa na maana gani?... kwani inanitatiza sana kuelewa ikiwa sintotumia msahafu wa imani ya dini..
lakini kwakuwa chama hiki kina mkono wa MUNGU,MUNGU alitumia njia zake za asili kuwang'amua waliokuwa na nia mbaya.
Na wewe umeliona hilo inawezekana wana sababu zao labda ni za siku nyingi walikuwa wanatafuta weakpoint ili watoe dukuduku lao lakini loophole yenyewe waliyotumia iko loose.Hizo nia tafasiri zenu tu Wakuu. Hivi Mungu anakomea mpaka upi katika maisha ya Binadamu? Hivyo mnataka kutwambia kwamba Mungu ni miskitini na Makanisani tu basi. Kwa kuwafahamisha tu japo sitaki kuingia kwenye malumbano nanyi lakini kama kuna sehemu muhimu sana ambapo Binadam anamwitaji sana Mwenyezi Mungu au Allah ni katika uongozi na usimamizi wa watu au umma (hii sisi tunasema siasa kama labda mnakwazwa na neno siasa). Habari ya viongozi kusalimia kwa salamu zote za dini sioni tatizo na imekuwa desturi yetu watanzania miaka yote na pale viongozi wanaposalimia watu wote huitikia kwa pamoja kuonyesha umoja na upendo walio nao kwa pamoja miongoni mwao. Sijaona ilipoongelewa IMANI ya mtu hapa labda unipostie nione.
Hapa naona nyie ndo mna tatizo fulani, ".......lakini kwakuwa chama hiki kina mkono wa MUNGU,MUNGU alitumia njia zake za asili kuwang'amua waliokuwa na nia mbaya......" hapa sioni anaposema vyama vingine havina mkono wa Mungu au kwamba Mungu hawabariki watu. Kumbuka unaposema chama unasema watu, CHADEMA au CCM au CUF ni watu. Ukisema Mungu amebariki familia hii au ukoo huu au kabila hili au kazi zetu n.k. hao wote na watu. Au kwa hiyo kwako wewe mtu akikiri uwepo wa mkono wa Mungu au Msaada wa Mungu au Baraka za Mungu bas amemtumia Mungu ovyo. Mungu anatuamru tumkiri yeye kwanza na kumtegemea kwa kila jambo na kisha kumkiri tena kwa kumshukuru baada ya kutufanikisha. Kwa hiyo tuseme hata vikao vya Bunge waache kabisa kuwa wanafungua kwa kumtaja na kumwomba Mungu eti kwa sababu wanafanya kazi ya siasa (UONGOZI), ebu tujaribu kuwa tuna tafakari nini tunaongea sio kutuwekea post za kutuchafulia hali ya hewa. Wapi ambapo umeongelewa udini, kilichoogelewa ni uhusiano kati ya Mungu na uongozi wa mwanadamu, au huu ndo udini unaotaka kulazimisha au udini ni kumwongelea au kumzungumza Mungu ndo udini et!!
WanaCHADEMA ni WATANZANIA NA SIO DINI usichanganye hisia zako na mada.
EBU ONDOENI MITAZAMO YA KIDINI DINI HAPA, WATANZANIA WOTE TUNAHESHIMIANA PAMOJA NA DINI ZETU ZIPO PALE PALE.
Anayway mada ni:-
CHEERS!!! JOHN HECHE!!!
HONGERA SANA!!
Mkuu tatizo lako hupendi kuelewa na nadhani Bibie Regia kanielewa. Sikusema UDINI na wala sizungumzii Udini ktk statement ya Regia isipokuwa nimemkanya au kumuasa asipende sana kutumia imani yake ya dini kuzungumzia maswala ya chama kwa ujumla wake!..Hebu nipe udini kwenye statement hii na kama kuna udini imebase kwenye dini gani kama haijabase ni general statement hakuna udini hapo kwa taarifa yako tu Mungu hana dini.
Yaani siku hizi udini umekuwa sensitive hadi tuogope kumtaja Mungu NO WAY hatuwezi kuacha kumtaja Mungu kwa kuogopa kuitwa wadini.
Hapana wana haki ya kutoa mchango wao kama vyama vya upinzani.
CCM, CUF, NCCR, UPDP, UDP vyote ni vyama vya upinzani Tanzania. Hadi leo CCM haijaamini kuwa imefanikiwa kuchakachua kura na kujiweka madarakani. Wanaendelea kufanya siasa kama chama cha upinzani.
Polepole watazoea. Dhambi ya kula nyama ya mtu....
Naona umeanza, mbona sijakutaja? una tabia hiyo nini? au nimeingilia maslahi yako?Acaha kutafuta sifa za kijinga. Nani anamuda wakufuatilia uchaguzi wa uongozi wa chadema? Kweli ujinga ni mzigo.
Mwagaaaa!!!!...Duh,hii kiboko!Kama uliweza kunijua mimi sidhani kama huyu itakushinda!
Kama unataka nambie niku-PM ni nani au nimwage hapa hadharani
<br />Mwagaaaa!!!!...Duh,hii kiboko!
Regia amekujibu hiviMkuu tatizo lako hupendi kuelewa na nadhani Bibie Regia kanielewa.
Asante kwa mtazamo wako na si kila mmoja atakubalina na hoja yako.Kwa hili tunaweza kupingana mpaka asubuhi.Mi nadhani tukubaliane kutokukubaliana.I respect you alot ndio maana sitaki kubishana na wewe.
Unafurahisha sana Mkandara unasema si maneno ya udini eti ni ya kichungaji ha ha haaa, nimekuambia watu kama nyie wenye hisia za udini udini tabia zenu zinafanana nani kakuambia hayo ni maneno ya kichungaji kwa nini yasiwe maneno ya imam tuseme hujawahi kusikia imamu au shehe akisema maneno hayo kuwa 'Mungu alitumia njia zake kuwang'amua wenye nia mbaya' tena huwa wanaongeza na ya husuda, acha hizo Mkandara nafikiri kwa hili umekosa hoja ya kumpin point Regia kilichobaki ni kulazimisha tu, kwa heri.Unaposema:- "Lakini kwa kuwa chama hiki kina mkono wa MUNGU, MUNGU alitumia njia zake za asili kuwang'amua waliokuwa na nia mbaya."
Watu watayatafsiri maneno haya kama ndivyo wanachama wa Chadema wanavyoamini maana umekishihirisha chama na mkono wa Mungu ambao kwa njia zake huwang'amua watu wenye nia mbaya!..Haya ni maneno ya kichungaji na yanaweza kabisa kuchukuliwa kama ni kufungamana na kanisa..
Mwagaaaa!!!!...Duh,hii kiboko!
Mwenye picha ya Heche atubandikie basi! nasikia ni kijana jasiri sana moyo wake wote CDM.Wakuu,
Habari ndio hiyo Heche amechaguliwa kuwa Mwenyekiti Taifa wa Bavicha baada ya kupata 53% ya kura zote, akiwaacha kwa mbali wagombea wengine 5,, uchaguzi umeisha alfajiri hii
mambo poA!!..nasikiliza taarabu hapamambo kobelo wa zebutiama au?<br />
<br />