PostGE2025 John Heche: Nilishawishiwa kupewa fedha ili niingize chama kwenye uchaguzi

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche, amedai kuwa alishawishiwa kupewa fedha ili akubali chama hicho kiingie kwenye uchaguzi.

Heche ameyasema hayo wakati akihojiwa na Clouds TV, akieleza kuwa chama hicho kinapigania demokrasia na kwamba demokrasia hiyo inapaswa kuanza ndani ya chama chenyewe.

“Sisi tunapigania demokrasia, demokrasia haiwezi kuonekana nje ya chama, lazima ionekane ndani ya chama. Mimi nimeshawishiwa, nihongwe, nimeshawishiwa hata juzi kwenye uchaguzi, tuingize chama kwenye uchaguzi, nipewe fedha nikubali tuingize chama kwenye uchaguzi,” amesema Heche.

Sisi tunapigania demokrasia, demokrasia haiwezi kuonekana nje ya chama, lazima ionekane ndani ya chama. Mimi nimeshawishiwa, nihongwe, nimeshawishiwa hata juzi kwenye uchaguzi, tuingize chama kwenye uchaguzi, nipewe fedha nikubali tuingize chama kwenye uchaguzi,” amesema Heche.
 
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche, amedai kuwa alishawishiwa kupewa fedha ili akubali chama hicho kiingie kwenye uchaguzi.

Heche ameyasema hayo wakati akihojiwa na Clouds TV, akieleza kuwa chama hicho kinapigania demokrasia na kwamba demokrasia hiyo inapaswa kuanza ndani ya chama chenyewe.

“Sisi tunapigania demokrasia, demokrasia haiwezi kuonekana nje ya chama, lazima ionekane ndani ya chama. Mimi nimeshawishiwa, nihongwe, nimeshawishiwa hata juzi kwenye uchaguzi, tuingize chama kwenye uchaguzi, nipewe fedha nikubali tuingize chama kwenye uchaguzi,” amesema Heche.
Heche ni kisiki cha mpingo. Tundu Lissu amepata Bonge la mwana
 
Kuna muda nahisi huu ni wakati wa Mungu kuwapa wa TANZANIA Uhuru wa kweli ...... hebu fikiri walihisi labda Tundu Lissu ndiye tishio kwao wakambambikia kesi ya uongo ila huyu makamo wake ( HECHE ) anaeleweka vizuri na ndiye mwiba kuliko . Sasahivi hata radio zimeshitika kuwa ukitaka listener ( wasikilizaji waongezeke kwenye Radio muite Heche ...... kitu Pekee ninacho muomba John Heche asitishe kabisa kumuongelea yule pimbi ( patrobas katombwe ) kajamaa kanajiona kananufaika kisiasa kisa kuongelewa na mamba John Heche . Kapuuzwe ni sawa na kumuongelea chizi
 
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche, amedai kuwa alishawishiwa kupewa fedha ili akubali chama hicho kiingie kwenye uchaguzi.

Heche ameyasema hayo wakati akihojiwa na Clouds TV, akieleza kuwa chama hicho kinapigania demokrasia na kwamba demokrasia hiyo inapaswa kuanza ndani ya chama chenyewe.

“Sisi tunapigania demokrasia, demokrasia haiwezi kuonekana nje ya chama, lazima ionekane ndani ya chama. Mimi nimeshawishiwa, nihongwe, nimeshawishiwa hata juzi kwenye uchaguzi, tuingize chama kwenye uchaguzi, nipewe fedha nikubali tuingize chama kwenye uchaguzi,” amesema Heche.
Kama asemayo ni kweli ni matumizi mabaya ya fedha za walala hoi wadanganyika.

Kwa nini usifanye maendeleo ya wananchi ili kuwaziba wapinzani midomo na kuwanyima kasoro za kukosoa ?

Yako matatizo lukuki, na pesa ya kuyatatua ipo.

Wananchi wanateseka na pesa unanunua wapinzani. Na wapinzani hawana nafasi ya kuleta maendeleo ya moja kwa moja maana hawakusanyi Kodi Wala kusimamia mapato ya Nchi.
 
Like nn mtafanya kwa mfano ili wasitumie pesa hiyo?
 
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche, amedai kuwa alishawishiwa kupewa fedha ili akubali chama hicho kiingie kwenye uchaguzi.

Heche ameyasema hayo wakati akihojiwa na Clouds TV, akieleza kuwa chama hicho kinapigania demokrasia na kwamba demokrasia hiyo inapaswa kuanza ndani ya chama chenyewe.

“Sisi tunapigania demokrasia, demokrasia haiwezi kuonekana nje ya chama, lazima ionekane ndani ya chama. Mimi nimeshawishiwa, nihongwe, nimeshawishiwa hata juzi kwenye uchaguzi, tuingize chama kwenye uchaguzi, nipewe fedha nikubali tuingize chama kwenye uchaguzi,” amesema Heche.
nani atakushawishi kwa pesa mropokaji kama wew heche? acha kupiga kamba wadau wa Jf kindezi ndezi hivyo.

na ulivyopigika kiuchumi na kushindwa hata kuikomboa Crown uliyoiagiza ng'ambo TRA, huwezi kukataa hata 20 wewe🐒
 
Back
Top Bottom