PostGE2025 John Heche: Nilishawishiwa kupewa fedha ili niingize chama kwenye uchaguzi

PostGE2025 John Heche: Nilishawishiwa kupewa fedha ili niingize chama kwenye uchaguzi

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Hela za kujenga flyover na kuongeza ajira zinatumika hovyo kwa kununua wapinzani
CCM haiwezi kununua hayo magarasha, CCM ina watu wengi sana wenye uwezo takataka km Heche CCM iipeleke wapi? Acheni kujiuza km makahaba yanajizungusha kutafuta wateja
 
Kuna muda nahisi huu ni wakati wa Mungu kuwapa wa TANZANIA Uhuru wa kweli ...... hebu fikiri walihisi labda Tundu Lissu ndiye tishio kwao wakambambikia kesi ya uongo ila huyu makamo wake ( HECHE ) anaeleweka vizuri na ndiye mwiba kuliko . Sasahivi hata radio zimeshitika kuwa ukitaka listener ( wasikilizaji waongezeke kwenye Radio muite Heche ...... kitu Pekee ninacho muomba John Heche asitishe kabisa kumuongelea yule pimbi ( patrobas katombwe ) kajamaa kanajiona kananufaika kisiasa kisa kuongelewa na mamba John Heche . Kapuuzwe ni sawa na kumuongelea chizi
We shoga wa Heche, mbwa koko wewe
 
Hata Lissu alikiri hadharani kupelekewa na Abdul Misambano akisindikizwa na Wenje, begi lililojaa hela nyumbani kwake! Angekuwa ni mroho kama nanihii, kamwe asingeliacha.
Lioneni hili zombie! Yote haya serikali imefunga ushahidi? Kwani mashahidi wanapiga kura mpaka wawe wengi? Mlitaka wawe wangapi? Chadomo ni Mazuzu, chama kimeshawafia lakini hawajitambui, hakina hata diwani moja bado wanajipongeza eti chama kimeimarika, hawa ni wa kupuuzwa ni wehu
 
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche, amedai kuwa alishawishiwa kupewa fedha ili akubali chama hicho kiingie kwenye uchaguzi.

Heche ameyasema hayo wakati akihojiwa na Clouds TV, akieleza kuwa chama hicho kinapigania demokrasia na kwamba demokrasia hiyo inapaswa kuanza ndani ya chama chenyewe.

“Sisi tunapigania demokrasia, demokrasia haiwezi kuonekana nje ya chama, lazima ionekane ndani ya chama. Mimi nimeshawishiwa, nihongwe, nimeshawishiwa hata juzi kwenye uchaguzi, tuingize chama kwenye uchaguzi, nipewe fedha nikubali tuingize chama kwenye uchaguzi,” amesema Heche.
Mambo ya Mwamba enzi zake😅😅
 
Kwa
Tapeli tu huyo km Joseph Kibwetere. Kwanza yeye siyo mwenyekiti, hiyo ni insubordination kwa mwenyekiti. Chadema ilijitoa uchaguzi kwa kukata kusaini maadili ya uchaguzi kabla Lissu hajakamatwa, akwende huko na uwongo wake. Ni aibu kiongozi wa kitaifa kuwa mwongo, hilo chama lenu ni ng'ombe kwamba anaingizwa kwenye josho? Nyie nyumbu ni matapeli wa siasa
Kwani kuna mwanaccm asiye mwongo?
 
Chadema ya Wu tang clan inaenda kama ifuatavyo:
Lissu-Methodman
Heche-Gza
Mnyika-Rza
Boni yai-Inspectah Deck
MMM-O’l dirty B
Ongezea wengine according’ na siha zao😁
[/QUOT
Mkuu umetisha sanaa!!!! Kuanzia Leo Acha nikufollow Tu
Najua wewe ni age yetu ya kitambo
 
Kuna siku watatajwa tu.
Yeah michezo ilianza tangu 2015 hii imekuwa playbook ya watawala.
Yawezekana huko nyuma ilikuwa inafanyika ila wahusika wanabaki kwenye vyama vyao na misimamo legelege akiwemo mkulima wa kahawa wa Matyazo.
 
Hela za kujenga flyover na kuongeza ajira zinatumika hovyo kwa kununua wapinzani
Umesahau mlivyokuwa mnanunua wale mliowaita "wameunga mkono juhudi"? Ukiwa na Pole pole na Bashiru?
 
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche, amedai kuwa alishawishiwa kupewa fedha ili akubali chama hicho kiingie kwenye uchaguzi.

Heche ameyasema hayo wakati akihojiwa na Clouds TV, akieleza kuwa chama hicho kinapigania demokrasia na kwamba demokrasia hiyo inapaswa kuanza ndani ya chama chenyewe.

“Sisi tunapigania demokrasia, demokrasia haiwezi kuonekana nje ya chama, lazima ionekane ndani ya chama. Mimi nimeshawishiwa, nihongwe, nimeshawishiwa hata juzi kwenye uchaguzi, tuingize chama kwenye uchaguzi, nipewe fedha nikubali tuingize chama kwenye uchaguzi,” amesema Heche.
View attachment 3652000
Hapa ndipo ugumu upande wa pili wanaupata jinsi ya kufanya maridhiano na Heche na Lisu kwa sababu jamaa hawana koromeo. Sijui ni kiongozi gani nimemsahau alisema Heche alikuwa anawekwa nje kwenye majadiliano na serikali kwa sababu hana siri.

Sijui itakuwaje, lakini ndio vizuri majadiliano yawe ya ukweli, uwazi na yenye tija na siyo ya ulaghai!
 
Back
Top Bottom