Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Sisi tunapigania demokrasia, demokrasia haiwezi kuonekana nje ya chama, lazima ionekane ndani ya chama. Mimi nimeshawishiwa, nihongwe, nimeshawishiwa hata juzi kwenye uchaguzi, tuingize chama kwenye uchaguzi, nipewe fedha nikubali tuingize chama kwenye uchaguzi,” amesema Heche.Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche, amedai kuwa alishawishiwa kupewa fedha ili akubali chama hicho kiingie kwenye uchaguzi.
Heche ameyasema hayo wakati akihojiwa na Clouds TV, akieleza kuwa chama hicho kinapigania demokrasia na kwamba demokrasia hiyo inapaswa kuanza ndani ya chama chenyewe.
“Sisi tunapigania demokrasia, demokrasia haiwezi kuonekana nje ya chama, lazima ionekane ndani ya chama. Mimi nimeshawishiwa, nihongwe, nimeshawishiwa hata juzi kwenye uchaguzi, tuingize chama kwenye uchaguzi, nipewe fedha nikubali tuingize chama kwenye uchaguzi,” amesema Heche.
Heche ni kisiki cha mpingo. Tundu Lissu amepata Bonge la mwanaMakamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche, amedai kuwa alishawishiwa kupewa fedha ili akubali chama hicho kiingie kwenye uchaguzi.
Heche ameyasema hayo wakati akihojiwa na Clouds TV, akieleza kuwa chama hicho kinapigania demokrasia na kwamba demokrasia hiyo inapaswa kuanza ndani ya chama chenyewe.
“Sisi tunapigania demokrasia, demokrasia haiwezi kuonekana nje ya chama, lazima ionekane ndani ya chama. Mimi nimeshawishiwa, nihongwe, nimeshawishiwa hata juzi kwenye uchaguzi, tuingize chama kwenye uchaguzi, nipewe fedha nikubali tuingize chama kwenye uchaguzi,” amesema Heche.
Serikali wamefunga ushahidi wao baada ya kuona msuli wa mwanaume mnene.CCM mtandao wanahahikisha hakuna Nywinywi, lakini wapi🔥🔥🔥
Kama asemayo ni kweli ni matumizi mabaya ya fedha za walala hoi wadanganyika.Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche, amedai kuwa alishawishiwa kupewa fedha ili akubali chama hicho kiingie kwenye uchaguzi.
Heche ameyasema hayo wakati akihojiwa na Clouds TV, akieleza kuwa chama hicho kinapigania demokrasia na kwamba demokrasia hiyo inapaswa kuanza ndani ya chama chenyewe.
“Sisi tunapigania demokrasia, demokrasia haiwezi kuonekana nje ya chama, lazima ionekane ndani ya chama. Mimi nimeshawishiwa, nihongwe, nimeshawishiwa hata juzi kwenye uchaguzi, tuingize chama kwenye uchaguzi, nipewe fedha nikubali tuingize chama kwenye uchaguzi,” amesema Heche.
Sema kama mbowe agebeba hilo bagHata Lissu alikiri hadharani kupelekewa na Abdul Misambano akisindikizwa na Wenje, begi lililojaa hela nyumbani kwake! Angekuwa ni mroho kama nanihii, kamwe asingeliacha.
Chadema haikuwa designed kuwa na siasa za upole upole ushikaji, ilikua designed kuleta pressureCHADEMA ya safari hii ni Ile hip hop hardcore ya akina Wu -tang Clan.
Hapa hakuna kucheka na mbwa!!
Like nn mtafanya kwa mfano ili wasitumie pesa hiyo?Kama asemayo ni kweli ni matumizi mabaya ya fedha za walala hoi wadanganyika.
Kwa nini usifanye maendeleo ya wananchi ili kuwaziba wapinzani midomo na kuwanyima kasoro za kukosoa ?
Yako matatizo lukuki, na pesa ya kuyatatua ipo.
Wananchi wanateseka na pesa unanunua wapinzani. Na wapinzani hawana nafasi ya kuleta maendeleo ya moja kwa moja maana hawakusanyi Kodi Wala kusimamia mapato ya Nchi.
nani atakushawishi kwa pesa mropokaji kama wew heche? acha kupiga kamba wadau wa Jf kindezi ndezi hivyo.Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche, amedai kuwa alishawishiwa kupewa fedha ili akubali chama hicho kiingie kwenye uchaguzi.
Heche ameyasema hayo wakati akihojiwa na Clouds TV, akieleza kuwa chama hicho kinapigania demokrasia na kwamba demokrasia hiyo inapaswa kuanza ndani ya chama chenyewe.
“Sisi tunapigania demokrasia, demokrasia haiwezi kuonekana nje ya chama, lazima ionekane ndani ya chama. Mimi nimeshawishiwa, nihongwe, nimeshawishiwa hata juzi kwenye uchaguzi, tuingize chama kwenye uchaguzi, nipewe fedha nikubali tuingize chama kwenye uchaguzi,” amesema Heche.
Chadema ya Wu tang clan inaenda kama ifuatavyo:CHADEMA ya safari hii ni Ile hip hop hardcore ya akina Wu -tang Clan.
Hapa hakuna kucheka na mbwa!!