PostGE2025 John Heche: Nilishawishiwa kupewa fedha ili niingize chama kwenye uchaguzi

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Kwa nini hakuyasema haya mara baada ya kushawishiwa? Kwa nini amengoja zaidi ya miezi tisa ipite ndio aseme? Tena bila ushahidi wowote!

Amandla...
 
Hela za kujenga flyover na kuongeza ajira zinatumika hovyo kwa kununua wapinzani
Lakini yalikuwa mambo ya jiwe haya. Jiwe ndio muasisi wa yote haya. Waitara alimnunua, Lijuakali akamnunua, Silinde akamnunua, yule mwenye kichwa kama cha panzi Mollel akamnunua, list ni ndefu. Wewe ulikuwa unafurahia enzi hizo kwa sababu ulikuwa kwenye mfumo. Leo mfumo umekutupa umekuja upande wetu tunaimba pamoja. Tundu Lissu aliwaambia mkitumaliza sisi mtaanzana wenyewe. Pigania katiba mpya huu ushenzi utakomeshwa
 
Namwamini
 
nani atakushawishi kwa pesa mropokaji kama wew heche? acha kupiga kamba wadau wa Jf kindezi ndezi hivyo.

na ulivyopigika kiuchumi na kushindwa hata kuikomboa Crown uliyoiagiza ng'ambo TRA, huwezi kukataa hata 20 wewe🐒
Wanaume wa kiume wanajadili mambo mazito.

Wewe mwanaume wa kike Baki nyumbani hapo ukila Urojo
 
Achana na jiwe wewe MAKALIO! Hangaika na hawa walio hai!
 
Tapeli tu huyo km Joseph Kibwetere. Kwanza yeye siyo mwenyekiti, hiyo ni insubordination kwa mwenyekiti. Chadema ilijitoa uchaguzi kwa kukata kusaini maadili ya uchaguzi kabla Lissu hajakamatwa, akwende huko na uwongo wake. Ni aibu kiongozi wa kitaifa kuwa mwongo, hilo chama lenu ni ng'ombe kwamba anaingizwa kwenye josho? Nyie nyumbu ni matapeli wa siasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…