PostGE2025 John Heche: Nilishawishiwa kupewa fedha ili niingize chama kwenye uchaguzi

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Hela za kujenga flyover na kuongeza ajira zinatumika hovyo kwa kununua wapinzani
CCM haiwezi kununua hayo magarasha, CCM ina watu wengi sana wenye uwezo takataka km Heche CCM iipeleke wapi? Acheni kujiuza km makahaba yanajizungusha kutafuta wateja
 
We shoga wa Heche, mbwa koko wewe
 
Hata Lissu alikiri hadharani kupelekewa na Abdul Misambano akisindikizwa na Wenje, begi lililojaa hela nyumbani kwake! Angekuwa ni mroho kama nanihii, kamwe asingeliacha.
Lioneni hili zombie! Yote haya serikali imefunga ushahidi? Kwani mashahidi wanapiga kura mpaka wawe wengi? Mlitaka wawe wangapi? Chadomo ni Mazuzu, chama kimeshawafia lakini hawajitambui, hakina hata diwani moja bado wanajipongeza eti chama kimeimarika, hawa ni wa kupuuzwa ni wehu
 
Mambo ya Mwamba enzi zake😅😅
 
Kwa
Kwani kuna mwanaccm asiye mwongo?
 
 
Kuna siku watatajwa tu.
Yeah michezo ilianza tangu 2015 hii imekuwa playbook ya watawala.
Yawezekana huko nyuma ilikuwa inafanyika ila wahusika wanabaki kwenye vyama vyao na misimamo legelege akiwemo mkulima wa kahawa wa Matyazo.
 
Hela za kujenga flyover na kuongeza ajira zinatumika hovyo kwa kununua wapinzani
Umesahau mlivyokuwa mnanunua wale mliowaita "wameunga mkono juhudi"? Ukiwa na Pole pole na Bashiru?
 
Hapa ndipo ugumu upande wa pili wanaupata jinsi ya kufanya maridhiano na Heche na Lisu kwa sababu jamaa hawana koromeo. Sijui ni kiongozi gani nimemsahau alisema Heche alikuwa anawekwa nje kwenye majadiliano na serikali kwa sababu hana siri.

Sijui itakuwaje, lakini ndio vizuri majadiliano yawe ya ukweli, uwazi na yenye tija na siyo ya ulaghai!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…