PreGE2025 John Heche: Nimeambiwa kwamba wana mpango wa kutomleta Lissu mahakamani kwamba kesi isikilizwe kwa njia ya mtandao

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
143,138
Reaction score
288,731
Taarifa zilizosambaa kila Mahali zinaonyesha kwamba Mwenyekiti wa Chadema Hatoletwa Mahakamani hadi siku ya Kunyongwa kwake.

Hii ndio mipango iliyopangwa na wale wanaodhani Wanamiliki Nchi ya Tanzania
=============
“Nimeambiwa kwamba wana mpango wa kutomleta (Tundu Lissu) mahakamani kwamba kesi isikilizwe kwa njia ya mtandao na kesi ya jinai ukisoma sheria yetu ya mwenendo wa makosa ya jinai kifungu cha 186 unapozungumzia mahakama ya wazi, ni mahakama ambayo mtu yoyote anapaswa kwenda kushuhudia kesi ikiendelea, haki haipaswi kutendeka tu inapaswa kuonekana ikitendeka, naelewa kuna kanuni hizi kanuni zilitungwa wakati wa Covid ili kurahisisha watu waliokuwepo magereza kesi ziendelee kusikilizwa," John Heche

Pia soma > LIVE - Kisutu: Kesi ya Tundu Lissu leo itaendeshwa kwa njia ya Mtandao. Kila Mtu huru kusikiliza

Screenshot_2025-04-27-19-06-55-1.png
Screenshot_2025-04-27-19-07-06-1.png

Bali tunachoamini ni kwamba katika Dunia ya leo hakuna Mpango wowote wa Shetani utakaofanikiwa
 
Ngoja tuo
Taarifa zilizosambaa kila Mahali zinaonyesha kwamba Mwenyekiti wa Chadema Hatoletwa Mahakamani hadi siku ya Kunyongwa kwake.

Hii ndio mipango iliyopangwa na wale wanaodhani Wanamiliki Nchi ya Tanzania

View attachment 3317717View attachment 3317718

Ngoja tuone
 
Kesi imewawia ngumu. Hawakujipanga
 
Lissu akatae kesi yake kusikilizwa kwa njia ya mtandao.
Siyo hivyo tu KETE SAHIHI KWA LISU NI KUKATAA KUJITETE KWENYE HIYO KESI HIYO NDIYO KETE YA KUSUKUMA INAITWA FITINA YA JELA
 
Back
Top Bottom