PreGE2025 John Heche: Nimeambiwa kwamba wana mpango wa kutomleta Lissu mahakamani kwamba kesi isikilizwe kwa njia ya mtandao

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Wasipomleta kuna haja ya Mawakili wake kwenda kupiga kambi pale Keko hata kama watazuiwa basi wakae pale nje. Ama wajitoe kwenye kesi hiyo wawaachie Jamhuri wafanye wanavyotaka.
 
Taarifa zilizosambaa kila Mahali zinaonyesha kwamba Mwenyekiti wa Chadema Hatoletwa Mahakamani hadi siku ya Kunyongwa kwake.

Hii ndio mipango iliyopangwa na wale wanaodhani Wanamiliki Nchi ya Tanzania
=============
“Nimeambiwa kwamba wana mpango wa kutomleta (Tundu Lissu) mahakamani kwamba kesi isikilizwe kwa njia ya mtandao na kesi ya jinai ukisoma sheria yetu ya mwenendo wa makosa ya jinai kifungu cha 186 unapozungumzia mahakama ya wazi, ni mahakama ambayo mtu yoyote anapaswa kwenda kushuhudia kesi ikiendelea, haki haipaswi kutendeka tu inapaswa kuonekana ikitendeka, naelewa kuna kanuni hizi kanuni zilitungwa wakati wa Covid ili kurahisisha watu waliokuwepo magereza kesi ziendelee kusikilizwa," John Heche

Pia soma > LIVE - Kisutu: Kesi ya Tundu Lissu leo itaendeshwa kwa njia ya Mtandao. Kila Mtu huru kusikiliza

View attachment 3317717View attachment 3317718

Bali tunachoamini ni kwamba katika Dunia ya leo hakuna Mpango wowote wa Shetani utakaofanikiwa
Samia amedhamiria kumnyonga Tundu Lissu hadi afe. Mwanamke katili sana huyu hata lucifer mwenyewe anashangaa.
 
1000031445.jpg
 
Taarifa zilizosambaa kila Mahali zinaonyesha kwamba Mwenyekiti wa Chadema Hatoletwa Mahakamani hadi siku ya Kunyongwa kwake.

Hii ndio mipango iliyopangwa na wale wanaodhani Wanamiliki Nchi ya Tanzania
=============
“Nimeambiwa kwamba wana mpango wa kutomleta (Tundu Lissu) mahakamani kwamba kesi isikilizwe kwa njia ya mtandao na kesi ya jinai ukisoma sheria yetu ya mwenendo wa makosa ya jinai kifungu cha 186 unapozungumzia mahakama ya wazi, ni mahakama ambayo mtu yoyote anapaswa kwenda kushuhudia kesi ikiendelea, haki haipaswi kutendeka tu inapaswa kuonekana ikitendeka, naelewa kuna kanuni hizi kanuni zilitungwa wakati wa Covid ili kurahisisha watu waliokuwepo magereza kesi ziendelee kusikilizwa," John Heche

Pia soma > LIVE - Kisutu: Kesi ya Tundu Lissu leo itaendeshwa kwa njia ya Mtandao. Kila Mtu huru kusikiliza

View attachment 3317717View attachment 3317718

Bali tunachoamini ni kwamba katika Dunia ya leo hakuna Mpango wowote wa Shetani utakaofanikiwa
Mambo ya mtandao hakuna hawataki kumleta mahakamani basi wakae naye tuone
 
Kumnyonga hawawezi Wanajua kabisa watasababisha Chaos Kubwa sana Wao sio wajinga Watamuweka ndanj na Baadaye Rais atatangaza Msamaha
morsi na abiola walinyongwa, yeye ni nani, mahakama ikiamuru atanyongwa
 
Mimi ninacho jua ni kwamba watanzania wengi ni vichaa, (tatizo la afya ya akili), kati ya watu 4 mmoja wapo ni kichaa taarifa kutoka wizara ya afya Tanzania

Inamaana kama kutakuwa na Majaji 4 mmoja atakuwa kichaa hata huko kwa mawakili kama watakuwa 16 basi wanne, (4) watakuwa wana tatizo la afya ya akili

Hitimisho binadamu ana akili sana lakini binadamu huyo huyo ni mvivu wa kufikiri, binadamu uwezo wake wa kufikiri huongezeka anapopata changamoto hasa yasiyotarajiwa, (uncertainty) ama mitihani ya shule ama chuo
 
Angalieni jamani kesho walau tufungue biashara
Hicho kibiashara chako kina maana gani kama watu wananyimwa HAKI. Wengine wanaumizwa na hata kuuliwa, wewe unazungumzia kibiashara!

Kumbe ndiyo maana siku hizi unaweweseka hapa kwa kutupiwa vimfupa vya kulamba na huyo mfugaji wako kama mbwa koko?
 
Taarifa zilizosambaa kila Mahali zinaonyesha kwamba Mwenyekiti wa Chadema Hatoletwa Mahakamani hadi siku ya Kunyongwa kwake.

Hii ndio mipango iliyopangwa na wale wanaodhani Wanamiliki Nchi ya Tanzania
=============
“Nimeambiwa kwamba wana mpango wa kutomleta (Tundu Lissu) mahakamani kwamba kesi isikilizwe kwa njia ya mtandao na kesi ya jinai ukisoma sheria yetu ya mwenendo wa makosa ya jinai kifungu cha 186 unapozungumzia mahakama ya wazi, ni mahakama ambayo mtu yoyote anapaswa kwenda kushuhudia kesi ikiendelea, haki haipaswi kutendeka tu inapaswa kuonekana ikitendeka, naelewa kuna kanuni hizi kanuni zilitungwa wakati wa Covid ili kurahisisha watu waliokuwepo magereza kesi ziendelee kusikilizwa," John Heche

Pia soma > LIVE - Kisutu: Kesi ya Tundu Lissu leo itaendeshwa kwa njia ya Mtandao. Kila Mtu huru kusikiliza

View attachment 3317717View attachment 3317718

Bali tunachoamini ni kwamba katika Dunia ya leo hakuna Mpango wowote wa Shetani utakaofanikiwa
Mahakama ilishasema kesi kesho itaendelea kusikilizwa kupitia mtandaoni ili watz wengi waifuatilie.
 
hahaha hao watanzania wenye mtandao wa kufatilia wako wapi

watu wa serikali tu kufanya vikao mtandaoni hawawezi hao watanzania wenye uwezo huo wako wapi
 
Tupo sisi tutafuatilia kwa niaba yako.
 
Back
Top Bottom