mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 47,054
- 58,689
😲😲 kumbe atanyongwa.
Nani ana hilo Bando?Mahakama ilishasema kesi kesho itaendelea kusikilizwa kupitia mtandaoni ili watz wengi waifuatilie.
mifano iko mingi, yohana mbatizaji alikatwa kichwa na wengine wengi, usalama wa nchi yetu ni kipaumbele chetuSasa Unazungumzia Nigeria na Misri?
Vipi kuhusu Afrika mashariki Mbona Hutoi mifano hiyo
Yohana Mbatizaji Uliwahi kumuona wapi?mifano iko mingi, yohana mbatizaji alikatwa kichwa na wengine wengi, usalama wa nchi yetu ni kipaumbele chetu
mkuu unaweza kuta hata kufungua link hujui,ama hata iyo link ya kufatilia huijui kabisa ila unavyo tamba hapa sasaTupo sisi tutafuatilia kwa niaba yako.
Kama natamba hapa JF nitashindwaje kujua hiyo link?mkuu unaweza kuta hata kufungua link hujui,ama hata iyo link ya kufatilia huijui kabisa ila unavyo tamba hapa sasa
Hapo Kisutu hawawezi kukaa zaidi ya watu 200. Sasa si itakuwa ujinga kuruhusu watu waende sehemu hiyo!!?Nani ana hilo Bando?
Wakiona hiyo Mahakama haitoshi mahakama ihamie uwanja wa taifa ili wananchi wengi zaidi wapate fursa.Hapo Kisutu hawawezi kukaa zaidi ya watu 200. Sasa si itakuwa ujinga kuruhusu watu waende sehemu hiyo!!?
Mbadalq wake ni Online Hearing.Wakiona hiyo Mahakama haitoshi mahakama ihamie uwanja wa taifa ili wananchi wengi zaidi wapate fursa.
Online waongee na makampuni ya simu za mkononi ili iwe FREE hapo sawa.Mbadalq wake ni Online Hearing.
Waambie Chadema waongee naoOnline waongee na makampuni ya simu za mkononi ili iwe FREE hapo sawa.
Mbinde niutekelezaji wake sasa,hapo ndo kizungumkuti,inabaki katika maandiko.Kwa mujibu wa Sheria za Tanzania hukumu ya Mhaini ni Kunyongwa, tena siyo kunyongwa tu ni kunyongwa hadi kufa
tupe linkKama natamba hapa JF nitashindwaje kujua hiyo link?