PreGE2025 John Heche: Nimepata taarifa za kuaminika kuhusu mpango wa kumkamata Tundu Lissu kwa Kumbambikia Kesi ya Uhaini"

PreGE2025 John Heche: Nimepata taarifa za kuaminika kuhusu mpango wa kumkamata Tundu Lissu kwa Kumbambikia Kesi ya Uhaini"

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Hawana lolote,hapo wanataka wamkamate ili wamuunganishe na Lisuu ili waunde timu wakawaombe majadiliano na msamaha wakiwa wote wawili,sio rahisi kuongea nao mmoja Ukonga mwingine yupo huru,

Tunawamulika mpaka rohoni,hawajifichi
 
Back
Top Bottom