PreGE2025 John Heche: Nimepata taarifa za kuaminika kuhusu mpango wa kumkamata Tundu Lissu kwa Kumbambikia Kesi ya Uhaini"

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
143,138
Reaction score
288,731
Sababu kuu ya kufanya jambo hili la kishamba, ni kushindwa kujibu hoja zake za No Reform No Election

Nimepata taarifa kutoka vyanzo vya kuaminika, mpango wa kumkamata Mwenyekiti wetu wa Taifa ni kumbambikizia kesi ya (treason)Uhaini.

Soma Pia: Tundu Lissu akamatwa na Polisi akielekea Mbinga, Ruvuma

Lengo ni kumuweka gerezani kwa mda mrefu na kufifisha kiu ya Watanzania kutaka mageuzi ya kiuchagizi ili wapate viongozi wanaotokana na kura za wananchi.Kama mipango mingine miovu huu pia hautafanikiwa.Hatutatishika, hatutarudi nyuma.

Screenshot_2025-04-10-00-18-38-1.png

Swali ni Je Dunia itakubali au huu waweza kuwa mwisho wa Tanzania?
 
Sababu kuu ya kufanya jambo hili la kishamba, ni kushindwa kujibu hoja zake za No Reform No Election

Nimepata taarifa kutoka vyanzo vya kuaminika, mpango wa kumkamata Mwenyekiti wetu wa Taifa ni kumbambikizia kesi ya (treason)Uhaini.

Lengo ni kumuweka gerezani kwa mda mrefu na kufifisha kiu ya Watanzania kutaka mageuzi ya kiuchagizi ili wapate viongozi wanaotokana na kura za wananchi.Kama mipango mingine miovu huu pia hautafanikiwa.Hatutatishika, hatutarudi nyuma.

View attachment 3298280

Swali ni Je Dunia itakubali au huu waweza kuwa mwisho wa Tanzania?
atqnyea ndoo na hakuna wa kuhoji
 
Ona bibi kibwengo huyu naye!!

Yaani Shoga Lissu ndio iwe mwisho wa Tanzania? Amekamatwa kama kuku na nchi inaendelea kama kawaida watu wako busy na ushindi wa Simba.

Wewe huna maana ndio maana umemkimbia mumeo DJ Mbowe!
Mkuu naona umefurahi sana leo siyo?
 
Back
Top Bottom