Sababu kuu ya kufanya jambo hili la kishamba, ni kushindwa kujibu hoja zake za No Reform No Election
Nimepata taarifa kutoka vyanzo vya kuaminika, mpango wa kumkamata Mwenyekiti wetu wa Taifa ni kumbambikizia kesi ya (treason)Uhaini.
Soma Pia: Tundu Lissu akamatwa na Polisi akielekea Mbinga, Ruvuma
Lengo ni kumuweka gerezani kwa mda mrefu na kufifisha kiu ya Watanzania kutaka mageuzi ya kiuchagizi ili wapate viongozi wanaotokana na kura za wananchi.Kama mipango mingine miovu huu pia hautafanikiwa.Hatutatishika, hatutarudi nyuma.
View attachment 3298280
Swali ni Je Dunia itakubali au huu waweza kuwa mwisho wa Tanzania?