PreGE2025 John Heche: Nimepata taarifa za kuaminika kuhusu mpango wa kumkamata Tundu Lissu kwa Kumbambikia Kesi ya Uhaini"

PreGE2025 John Heche: Nimepata taarifa za kuaminika kuhusu mpango wa kumkamata Tundu Lissu kwa Kumbambikia Kesi ya Uhaini"

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Harakati za aina hii zinavutia kwakweli, zinaonyesha ni kwa namna gani jamii inazidi kujitambua dhidi ya wezi wachache, kuna muda mabadiliko lazima yawe na maumivu.
 
Mimi upande wangu nime "miss" zile mbilinge mbilinge za mahakamani, kati ya mawakili wa serikali na mawakili wa Chadema, maana najua Lissu kumuua walishashindwa, watambambika makesi kibao kumnyong'onyeza. 😁

Kesho tutajua tuu, najua tayari washaandaa mashitaka, watamshika wee, badae wataona aibu, watamfikisha mahakamani na ndio utamu utaanza. 😁

Watakomaa asipewe dhamana, watampa kesi hazina dhamana. Utamu utakuja kesi zikianza, watu kibao, mabalozi mbalimbali watatoa matamko. Taasisi za haki za binadamu n.k, hashtag kibao. 😁

Kesi zikianza ndo mimi napenda hapo jameni. Ziwe live live tu hapa JF. 😁

Ngoja tuone. Nipo pale na bando langu la buku jero, popcorn kibao. 😁
 
kwahiyo na unadhani mtashindwa , na uchwara wako kwenye Sheria hivyo..... Yeye mjinga WA Sheria anavyotamka hivyo

Nisome hapo nikiwaonya CDM JF mwanzo wa week anachofanya Lissu anavunja ‘Public Order Offence’ jamaa wakiamua anytime wanamkamata.

Mnasikiaga basi, uwaga mnaishi kwenye dunia yenu ambayo unaweza jifanyia tu mambo.

Lakini kwa wengine it was a matter of time, wakiona inatosha sasa
 
Mimi upande wangu nime "miss" zile mbilinge mbilinge za mahakamani, kati ya mawakili wa serikali na mawakili wa Chadema, maana najua Lissu kumuua walishashindwa, watambambika makesi kibao kumnyong'onyeza. 😁

Kesho tutajua tuu, najua tayari washaandaa mashitaka, watamshika wee, badae wataona aibu, watamfikisha mahakamani na ndio utamu utaanza. 😁

Watakomaa asipewe dhamana, watampa kesi hazina dhamana. Utamu utakuja kesi zikianza, watu kibao, mabalozi mbalimbali watatoa matamko. Taasisi za haki za binadamu n.k, hashtag kibao. 😁

Kesi zikianza ndo mimi napenda hapo jameni. Ziwe live live tu hapa JF. 😁

Ngoja tuone. Nipo pale na bando langu mie. 😁
Nyinyi ndio mlikuwa mnasema mtazuia uchaguzi? Umekuja na comment hii tena ya mahakamani!? 🤣🤣
 
Sababu kuu ya kufanya jambo hili la kishamba, ni kushindwa kujibu hoja zake za No Reform No Election

Nimepata taarifa kutoka vyanzo vya kuaminika, mpango wa kumkamata Mwenyekiti wetu wa Taifa ni kumbambikizia kesi ya (treason)Uhaini.

Soma Pia: Tundu Lissu akamatwa na Polisi akielekea Mbinga, Ruvuma

Lengo ni kumuweka gerezani kwa mda mrefu na kufifisha kiu ya Watanzania kutaka mageuzi ya kiuchagizi ili wapate viongozi wanaotokana na kura za wananchi.Kama mipango mingine miovu huu pia hautafanikiwa.Hatutatishika, hatutarudi nyuma.

View attachment 3298280

Swali ni Je Dunia itakubali au huu waweza kuwa mwisho wa Tanzania?
MamaSamia2025 ni rais wa hovyo tu kama Magufuli
 
Nyinyi ndio mlikuwa mnasema mtazuia uchaguzi? Umekuja na comment hii tena ya mahakamani!? 🤣🤣

Utakuwa umekuja JF juzi mkuu. Sio kila unaemuona hapa anashabikia siasa au ana upande. Wengine ni watazamaji tuu wa hizo siasa zenu, kikubwa msiumizane katika michezo yenu ya siasa. 😁
 
Polisi wanasahau kama tunaishi nao mitaani, wanaenda magengeni na masokoni kwenye raia pia wanaenda kupata huduma na bidhaa. Wao ni wachache sana kuliko raia siku mambo yatabadilika watatafutwa wao na familia zao kulipia gharama za ujinga wa kutetea wezi wachache.
Polisi wanajiona wako ngazi moja na viongozi, haijalishi hali yao ya kimaisha.
 
Kama na huyu asipokamatwa,bado anaweza kuipeleka mbele hii hoja ya NRNE kwa wananchi wakamwelewa!
Najua Heche ni Mkurya haogopi.
 
Sababu kuu ya kufanya jambo hili la kishamba, ni kushindwa kujibu hoja zake za No Reform No Election

Nimepata taarifa kutoka vyanzo vya kuaminika, mpango wa kumkamata Mwenyekiti wetu wa Taifa ni kumbambikizia kesi ya (treason)Uhaini.

Soma Pia: Tundu Lissu akamatwa na Polisi akielekea Mbinga, Ruvuma


Lengo ni kumuweka gerezani kwa mda mrefu na kufifisha kiu ya Watanzania kutaka mageuzi ya kiuchagizi ili wapate viongozi wanaotokana na kura za wananchi.Kama mipango mingine miovu huu pia hautafanikiwa.Hatutatishika, hatutarudi nyuma.

View attachment 3298280

Swali ni Je Dunia itakubali au huu waweza kuwa mwisho wa Tanzania?
Huyo lofa ana mdomo mchafu utafikiri anatembea na kinyesi mdomoni. Km kungelikuwa na dunia Sudan ingeshasaidiwa, waheshimu sheria za nchi, watumie lugha za staha, waache lugha za kichochezi hao wako tayari kuiwashia nchi yetu moto wao wakakimbia. Vyombo vya ulinzi na usalama viwashughulikie ipasavyo wasicheke nao. Huyo ni mnafiki utafikiri ana uchungu na nchi hii, hii nchi siyo ya babake hawezi kulazimisha chochote aendeshe siasa za kistaarabu.
 
Itaeleweka ni ukandamizaji wa demokrasia na ukiukaji wa haki za bindamu, jumuiya za kimataifa zenye akikili zikitia neno mtu asilalamike
Siyo jumuiya sema mabwana zenu, hii ni nchi huru we bwege hakuna wa kutuingilia km ndio mnawategemea. Km wangelikuwa na uwezo huo Sudan isingekuwa inaangamia bila msaada wowote.
 
Back
Top Bottom