HeeeAcha ashughulikiwe mtetea ushoga Lissu.
Kwani umeuacha lini ushoga?!.
Chawa na shoga ni dugu moja.
HeeeAcha ashughulikiwe mtetea ushoga Lissu.
Uhaini kwani Samia alichaguliwa na Nani kuwa Rais wa TanzaniaSababu kuu ya kufanya jambo hili la kishamba, ni kushindwa kujibu hoja zake za No Reform No Election
Nimepata taarifa kutoka vyanzo vya kuaminika, mpango wa kumkamata Mwenyekiti wetu wa Taifa ni kumbambikizia kesi ya (treason)Uhaini.
Soma Pia: Tundu Lissu akamatwa na Polisi akielekea Mbinga, Ruvuma
Lengo ni kumuweka gerezani kwa mda mrefu na kufifisha kiu ya Watanzania kutaka mageuzi ya kiuchagizi ili wapate viongozi wanaotokana na kura za wananchi.Kama mipango mingine miovu huu pia hautafanikiwa.Hatutatishika, hatutarudi nyuma.
View attachment 3298280
Swali ni Je Dunia itakubali au huu waweza kuwa mwisho wa Tanzania?
Hii ni smart area haya boda boda kunja ngumi ,imba unatafuta kiki kwa pikipiki ,ama black ama white vepe? - Afande Kichuya LugaloKiki kwa pikipiki
ni kibaka katika siasa ndie pekee anaweza kumuamini huyo heche addicts wa kubeti.Sababu kuu ya kufanya jambo hili la kishamba, ni kushindwa kujibu hoja zake za No Reform No Election
Nimepata taarifa kutoka vyanzo vya kuaminika, mpango wa kumkamata Mwenyekiti wetu wa Taifa ni kumbambikizia kesi ya (treason)Uhaini.
Soma Pia: Tundu Lissu akamatwa na Polisi akielekea Mbinga, Ruvuma
Lengo ni kumuweka gerezani kwa mda mrefu na kufifisha kiu ya Watanzania kutaka mageuzi ya kiuchagizi ili wapate viongozi wanaotokana na kura za wananchi.Kama mipango mingine miovu huu pia hautafanikiwa.Hatutatishika, hatutarudi nyuma.
View attachment 3298280
Swali ni Je Dunia itakubali au huu waweza kuwa mwisho wa Tanzania?

Kumbe ndio hoja zenu hizo za kuweza kushindana naye??? Ccm imefilisikia na wanachi wake na hawo policcm mnaowatumia kisa msipate upinzani. Eti nchi hii kuna democracy ya kuaminiana na 4R inafanya kazi na kazi zinaenda sawa. Unafiki. Bila ya hivi hamna mnachotaka kukifanya.atqnyea ndoo na hakuna wa kuhoji
Hizo ndio hoja wanazozitumia ccm dhidi ya chadema.ni kibaka katika siasa ndie pekee anaweza kumuamini huyo heche addicts wa kubeti.
in fact,
ni muhimu sana vyombo vya ulinzi na usalama kushughulika na huyu bandits dhidi ya upotoshaji wa kichochezi, uzushi na dharau kwa vyombo vyetu imara sana vya ulinzi na anojaribu kuuimpact kwa jamii![]()
Kati ya kipindi ambacho Chadema wamepata viongozi sqhihi ni hiki. We fikiria hapo Makamu Mwenyekiti angekuwa Wenje si ndo mchezo ungekuwa umeisha na Madalali wenzake kina Mrema?Sababu kuu ya kufanya jambo hili la kishamba, ni kushindwa kujibu hoja zake za No Reform No Election
Nimepata taarifa kutoka vyanzo vya kuaminika, mpango wa kumkamata Mwenyekiti wetu wa Taifa ni kumbambikizia kesi ya (treason)Uhaini.
Soma Pia: Tundu Lissu akamatwa na Polisi akielekea Mbinga, Ruvuma
Lengo ni kumuweka gerezani kwa mda mrefu na kufifisha kiu ya Watanzania kutaka mageuzi ya kiuchagizi ili wapate viongozi wanaotokana na kura za wananchi.Kama mipango mingine miovu huu pia hautafanikiwa.Hatutatishika, hatutarudi nyuma.
View attachment 3298280
Swali ni Je Dunia itakubali au huu waweza kuwa mwisho wa Tanzania?
Umesahau au hujui kazi ya polisi ni nini.Polisi wanasahau kama tunaishi nao mitaani, wanaenda magengeni na masokoni kwenye raia pia wanaenda kupata huduma na bidhaa. Wao ni wachache sana kuliko raia siku mambo yatabadilika watatafutwa wao na familia zao kulipia gharama za ujinga wa kutetea wezi wachache.
Chadema ni wengi kweli ila kuwa chadema haimaanishi kukubali kila kitu. Watu wanafikiri na kufanya maamuzi kwa maslahi yao si ya mwanasiasa.Wewe nyumbu kwani Chadema wako wangapi? Mbona leo mlishindwa kuzuia Msaliti Lissu asikamatwe kama kweli Chadema ni wengi mitaani?
Ahahahahaha! Kwahiyo dunia ndio itakuja kuandamana kwa ajili ya Lissu na sio ninyi nyumbu wake! Ahahahahaha!Sababu kuu ya kufanya jambo hili la kishamba, ni kushindwa kujibu hoja zake za No Reform No Election
Nimepata taarifa kutoka vyanzo vya kuaminika, mpango wa kumkamata Mwenyekiti wetu wa Taifa ni kumbambikizia kesi ya (treason)Uhaini.
Soma Pia: Tundu Lissu akamatwa na Polisi akielekea Mbinga, Ruvuma
Lengo ni kumuweka gerezani kwa mda mrefu na kufifisha kiu ya Watanzania kutaka mageuzi ya kiuchagizi ili wapate viongozi wanaotokana na kura za wananchi.Kama mipango mingine miovu huu pia hautafanikiwa.Hatutatishika, hatutarudi nyuma.
View attachment 3298280
Swali ni Je Dunia itakubali au huu waweza kuwa mwisho wa Tanzania?
Polisi kazi yao ni kutii maagizo. Jibu ni ndio mkuu, sio kwanini mkuu, hakuna reasoning unayotaka kwenye maagizo. Hata TAL akiwa raisi itakuwa hivyo hivyo, watamtii.Polisi wanasahau kama tunaishi nao mitaani, wanaenda magengeni na masokoni kwenye raia pia wanaenda kupata huduma na bidhaa. Wao ni wachache sana kuliko raia siku mambo yatabadilika watatafutwa wao na familia zao kulipia gharama za ujinga wa kutetea wezi wachache.
Hizi ni lugha za hovyo kwa mpenda amani yeyote yule. Hivi unadhani kwa ule umati wangeamua mbwai ingekuaje leo.Wewe nyumbu kwani Chadema wako wangapi? Mbona leo mlishindwa kuzuia Msaliti Lissu asikamatwe kama kweli Chadema ni wengi mitaani?
uzushi ni muhimu ukadhibitiwa vizuri sanaHizo ndio hoja wanazozitumia ccm dhidi ya chadema.

Mwanchi Mtanganyika wa Kwanza Kubambikia kesi ya Uhaini alikuwa Nyerere na Serikali za Wakoloni.Sababu kuu ya kufanya jambo hili la kishamba, ni kushindwa kujibu hoja zake za No Reform No Election
Nimepata taarifa kutoka vyanzo vya kuaminika, mpango wa kumkamata Mwenyekiti wetu wa Taifa ni kumbambikizia kesi ya (treason)Uhaini.
Soma Pia: Tundu Lissu akamatwa na Polisi akielekea Mbinga, Ruvuma
Lengo ni kumuweka gerezani kwa mda mrefu na kufifisha kiu ya Watanzania kutaka mageuzi ya kiuchagizi ili wapate viongozi wanaotokana na kura za wananchi.Kama mipango mingine miovu huu pia hautafanikiwa.Hatutatishika, hatutarudi nyuma.
View attachment 3298280
Swali ni Je Dunia itakubali au huu waweza kuwa mwisho wa Tanzania?
😡Sasa Mungu akaamua nizaliwe ili niwashughulikie nyumbu kama wewe!
Sahihi Wananchi wanajikalia kimya ili waumbuke. Sasa tunajua kwanini wameingiza mabunduki....ni dalili za kufeliHizi ni lugha za hovyo kwa mpenda amani yeyote yule. Hivi unadhani kwa ule umati wangeamua mbwai ingekuaje leo.
Naheshimu sana watu wanaoepusha maafa. Wanaanchi wabakie hivyo kutokuweka vita na polisi.
Mbona uzushi wa makamu mwenyekiti wetu hamkuudhibiti juu ya chadema? Au utafiti wako hauna hilo?uzushi ni muhimu ukadhibitiwa vizuri sana![]()