Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Hicho ndicho kigezo chako kikuu?Kwa bwatu namna hii halafu upewe nchi?
Ethics za chama gani zinaruhusu mtu kutoa povu kama vile hujawa matured!
Hata mimi polisi wanamlea vibayaNingelikuwa mimi ndio huyo OCD, Heche angelikuwa mochwari sasa hivi!
Neno Ethics unalielewa lakini?Hicho ndicho kigezo chako kikuu?
Hiyo "s" kwenye ETHICS umeizingatia kwani?Neno Ethics unalielewa lakini?
Polisi wetu ni wapole sana ndio maana akina Heche wanajisahau na kuwatukana. Mimi niwe OCD aniseme hivyo? Iiiiiiiiiiiiiii!!!!!Hata mimi polisi wanamlea vibaya
USSR
Natamani ningekuwa na muda na hayo maelekezo unayopokea kwa Kihongosi, ningekuwa na muda ningepambana na wewe tuone ungenifanya nini mimi sio mke wako, huna cha kunifanya"πππMakamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) John Heche akaanga vibaya OCD mbele ya umati wa wafuasi wa Chama hicho.
"Natamani ningekuwa na muda na hayo maelekezo unayopokea kwa Kihongosi, ningekuwa na muda ningepambana na wewe tuone ungenifanya nini mimi sio mke wako, huna cha kunifanya"
Aisee chadema kwa sasa ipo mikononi salama, ndo maana Mzee mbowe ameamua kaa kimia akiwachora ccm,Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) John Heche akaanga vibaya OCD mbele ya umati wa wafuasi wa Chama hicho.
"Natamani ningekuwa na muda na hayo maelekezo unayopokea kwa Kihongosi, ningekuwa na muda ningepambana na wewe tuone ungenifanya nini mimi sio mke wako, huna cha kunifanya"
eti huyo ni kiongozi wa watu, sijua kama ana watoto wana hulka na tabia gani?Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) John Heche akaanga vibaya OCD mbele ya umati wa wafuasi wa Chama hicho.
"Natamani ningekuwa na muda na hayo maelekezo unayopokea kwa Kihongosi, ningekuwa na muda ningepambana na wewe tuone ungenifanya nini mimi sio mke wako, huna cha kunifanya"
Hata mimiNasubiri majibu neno Ethics unalielewa ama hulielewi?Hiyo "s" kwenye ETHICS umeizingatia kwani?
Sign of. immaturityMakamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) John Heche akaanga vibaya OCD mbele ya umati wa wafuasi wa Chama hicho.
Sign of immaturity
"Natamani ningekuwa na muda na hayo maelekezo unayopokea kwa Kihongosi, ningekuwa na muda ningepambana na wewe tuone ungenifanya nini mimi sio mke wako, huna cha kunifanya"