Samiaagain2025
JF-Expert Member
- Dec 2, 2020
- 4,834
- 5,310
Mbona huongelei polisi wanaotumika kisiasa kukibeba chama tawala, wakati huohuo wakiteka, kuumiza na kusingizia watu kesi za uongo?.Kwa bwatu namna hii halafu upewe nchi?
Ethics za chama gani zinaruhusu mtu kutoa povu kama vile hujawa matured!