Na wakuandalie na mwanaume kabisaKwakweli sifai. Maana nikiwa Kiongozi nawaambia The Hague wanitengee chumba changu mapemaaaaaa kabla sijatoka uongozini!
Na wakuandalie na mwanaume kabisaKwakweli sifai. Maana nikiwa Kiongozi nawaambia The Hague wanitengee chumba changu mapemaaaaaa kabla sijatoka uongozini!
Tata muraaaaaaMakamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) John Heche akaanga vibaya OCD mbele ya umati wa wafuasi wa Chama hicho.
"Natamani ningekuwa na muda na hayo maelekezo unayopokea kwa Kihongosi, ningekuwa na muda ningepambana na wewe tuone ungenifanya nini mimi sio mke wako, huna cha kunifanya"
wajinga sana nyieHata mimi polisi wanamlea vibaya
USSR
Siku wakikuteka sema wamepatia sanaHapo kakosea,hasira nazo zinachangia
Utatekwa wewe usiejua mipaka yakoSiku wakikuteka sema wamepatia sana
Kwani utekaji unamipaka hata wewe ukiuliza hospitali hakuna dawa tambua madokta na manasei watakuteka uhai wakoUtatekwa wewe usiejua mipaka yako
Na ndiyo maana safari hii ni marufuku kwa msagaji kuingia ikulu maana ni chukizo kwa Mungu na ni kinyume na maadili ya kitanzania.Kwa bwatu namna hii halafu upewe nchi?
Ethics za chama gani zinaruhusu mtu kutoa povu kama vile hujawa matured!
Mtani wangu Mkurya huyo, keshazoea kuiba ng'ombe maporini huko anadhani kila mtu anaweza kumbwatukia tu.Kwa bwatu namna hii halafu upewe nchi?
Ethics za chama gani zinaruhusu mtu kutoa povu kama vile hujawa matured!
YESU hawezi kutengeneza pombe. pombe ni haramu hata kwa wapagani. Kiebrania ni nini.Umeifanyia homework ile tafsiri ya Kiebrania au inaleta longolongo tu?
Yuko vizuri, tena angeomba mechi mtu mbili! Uonevu tu!eti huyo ni kiongozi wa watu, sijua kama ana watoto wana hulka na tabia gani?![]()
Inawezekana nachati na layman wa kwenye mambo ya Biblia ila anayeipenda dini. Uwe na wakati mwema.YESU hawezi kutengeneza pombe. pombe ni haramu hata kwa wapagani. Kiebrania ni nini.
subiri ukue. Na ujue ni utovu wa nidhamu kuleta manishano na wakubwa zako - wazazi wako.Inawezekana nachati na layman wa kwenye mambo ya Biblia ila anayeipenda dini. Uwe na wakati mwema.
Polisi unaowatetea wanajua mipaka yao ??Utatekwa wewe usiejua mipaka yako
Kwani kakosea niniMtani wangu Mkurya huyo, keshazoea kuiba ng'ombe maporini huko anadhani kila mtu anaweza kumbwatukia tu.
🤣🤣🤣🤣 Sikutaka kucheka ila nimelazimika.Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) John Heche akaanga vibaya OCD mbele ya umati wa wafuasi wa Chama hicho.
"Natamani ningekuwa na muda na hayo maelekezo unayopokea kwa Kihongosi, ningekuwa na muda ningepambana na wewe tuone ungenifanya nini mimi sio mke wako, huna cha kunifanya"
Askari Wana mipaka yao wewehakyamungu ningekuwa mie angekula ya kichwa, tusiruhusu kujaribu ustaimilivu wa askari wetu.
Unapoomba uongozi lazima uwe na uwezo wa kuhandle watu wote sio uvumilivu tuViongozi wa serikali ni wavumilivu
Huyo ocd ndo anatakiwa ashtakiwe kwa kujidhalilisha serikali kwa kutaka kuonyesha ubaguzi kwa raia wakeOCD amedhalilishwa kweli, namshauri akafungue shauri, ufehedheshaji huu aukubaliki, Watu wote ni mashahidi na video zipo, hapa hapana lawama fidia 5bil, watajifunza heshima na adabu, nashauri OCD aliyedhalilishwa afungue jalada,ikumbukwe inapokuwa imevaliwa nguo za police, kofia na nembo ya Chuma, pale inayokuwa imedhalilishwa ni serekali nzima.
Acha kumdhalilisha Rais weweTumshkuru mheshiiwa rais daktari profesa SSH kwa yote japo yanatia kinyaa.