PreGE2025 John Heche: OCD mimi sio Mke wako, nasema huna chakunifanya hii nchi sio ya Mama zenu

PreGE2025 John Heche: OCD mimi sio Mke wako, nasema huna chakunifanya hii nchi sio ya Mama zenu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Sio wapole ni wapumbavu ndomana tuna wadharau.

Sasa kama kweli yeye ni OCD kwanini achukue amri haramu kutoka kwa kihongosi, kumbuka Respect is earned not given
Ni wapumbavu sawa, lakini wamemsweka Lissu mwerevu ndani na hakuna mbwa yoyote kama wewe ambaye una uwezo wa kufanya chochote kuhusu hilo.
 
Hata lisu alikuwa hivi hivi sasa watu wana sema anaonewa haya matamshi sio ya kumwambia mwanaume mwenzako ,mdude alianza hivi hivi

USSR
Kwamba wasira aliposema Lisu ni Kibaka nani alikua sahihi?
 
Hata lisu alikuwa hivi hivi sasa watu wana sema anaonewa haya matamshi sio ya kumwambia mwanaume mwenzako ,mdude alianza hivi hivi

USSR
Ila wasira kuita watu vibaka ni halali, na Makala kutuhumu watu Kununua MPox ni sawa
 
ila usiwe unakunywa konyagi. usinywe pombe !
Kama muujiza wa kwanza alioufanya Yesu Kristu kwa wanadamu ni kutengeneza "divai iliyo bora" kwenye Harusi ya Kana hadi watu "wakanywa wakachangamka!" Mimi ni nani kuacha kuuenzi muujiza huo na ni Mkristu mzuri?
 
Hata lisu alikuwa hivi hivi sasa watu wana sema anaonewa haya matamshi sio ya kumwambia mwanaume mwenzako ,mdude alianza hivi hivi

USSR
Muueni mmezoea kuua kama vile nyie mtaishi milele mbwa nyie
 
Lisu alimkaanga kabisa RPC mkutano wa hadhara kule Kusini Ruvuma walipotaka polisi kumkamata Lisu,Lisu akasema kwa jiamini hakamatwi mtu hapa Mthubutu muone cha mtema kuni nyie Polisi CCM

Polisi wakaingia kazini kumkamata Lisu ,Walinzi wa Lisu wakaingia mitini na wananchi wakatokomea gizani kusikojulikana wakamuacha Lisu apambane na hali yake

.Na Heche mwenyewe alikuwepo akamwacha Lisu akamatwe kama kuku wa Mdondo .Akaingia mitini

Kuna warriors wengi wa aina tofauti kuna keyboard warriors wakiandika waweza dhani serikali inapinduliwa kesho kumbe hewa tu

Kundi la pili ni la Mouth warriors akiwemo Lisu , Heche na Godbless Lema,manabii koko,maaskofu koko nk .Wakiongea ooh sisi hatuogopi polisi tuko tayari kupambana nao hao Polisi CCM division zero wakihutubia kupata makofi ya cheap popularity waweza dhani ooh polisi na nchi kesho wameisha na nchi inapinduliwa na huyu kidume asemaye haogopi RPC wala OCD wala polisi kwenye hotuba yake

Polisi wakitaka kuwakomalia kuwakamata au kuwatishia kidogo tu wanatorokea nje ya nchi,vyooni na kusikojukiana kujifungia na kelele kibao za ooh polisi wanataka kunikamata au kuniua anaita vyombo vya habari

Sasa mtu kama alisema haogopi polisi apambane nao? Mechi ya bifu ichezwe kati ya polisi na huyo asiyeogopa polisi tuone mshindi

Wananchi mara ingine wakitoa statement kams hiyo ya Heche wazoomeeni hao wanasiasa
Maneno mengi pumbaa tupuu
 
Nenda kufungue kesi kenge wa kijani unalia lia nini hapa
OCD, aliyedhalilidhwa anastahili kufungua mashtaka mahakamani, kwa kesi ya udhalilishaji mbele ya umma akiwa anatekeleza wajibu wake na kuidai fidia chadema ya billion 5.
 
Uonevu wa Polisiccm ni mkubwa mno lazima wasemwe live
 
Kama muujiza wa kwanza alioufanya Yesu Kristu kwa wanadamu ni kutengeneza "divai iliyo bora" kwenye Harusi ya Kana hadi watu "wakanywa wakachangamka!" Mimi ni nani kuacha kuuenzi muujiza huo na ni Mkristu mzuri?
Ile divai ya Bwana Yesu ya pale Kana ilikuwa divai njema. YESU hawezi tengeneza kilevi kisha akataze ULEVI. Kuna divai isiyochachwa kama vile Ile mikate ya pasaka isiyochachwa. So don't try to deceive yourself !
 
Heche aliamuru walinzi wake katili wamteke Sigrada Mligo but wakaishia kumpiga na kumuumiza vibaya sana.
huenda anahusika na matukio mengine ya utekaji kwasababu nadhani ni mzoefu :NoGodNo:
Ukivuta bange hapo Lumumba huchagui la kuandika
 
OCD, aliyedhalilidhwa anastahili kufungua mashtaka mahakamani, kwa kesi ya udhalilishaji mbele ya umma akiwa anatekeleza wajibu wake na kuidai fidia chadema ya billion 5.
Polisiccm waliopiga watu kisutu kuwatumia mbwa walishitakiwa wapi? Hizo njaa za kutaka bilion 5 kwa njia haramu za kishetani bakini nazo huko mnaposhinda mkivuta bangi na kujidanganya
 
Back
Top Bottom