Gobole Lenye Risasi
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 11,519
- 23,693
Hawa mademu huwa hawajielewi. Wanataka na Heche awe mwoga kama wao. Ndo maana wanashikwa shikwa makalio. Wanashangaa Heche anasimama imara.Kama Magufuli alikuwa Rais Bora baada ya Nyerere kwa kubwabwaja ije iwe kwa heche?
Mkapa aliita watu marofa mkashangilia
Mwinyi aliwaita kichwa Cha mwenda wazimu mkashangilia
Samia aliwaambia tutazenguana mkapiga makofi