PreGE2025 John Heche: OCD mimi sio Mke wako, nasema huna chakunifanya hii nchi sio ya Mama zenu

PreGE2025 John Heche: OCD mimi sio Mke wako, nasema huna chakunifanya hii nchi sio ya Mama zenu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Natamani ningekuwa na muda na hayo maelekezo unayopokea kwa Kihongosi, ningekuwa na muda ningepambana na wewe tuone ungenifanya nini mimi sio mke wako, huna cha kunifanya"😂😂😂
😀😀
 
Hata lisu alikuwa hivi hivi sasa watu wana sema anaonewa haya matamshi sio ya kumwambia mwanaume mwenzako ,mdude alianza hivi hivi

USSR
Shida yenu nyinyi Maccm huwa hamtaki kuambiwa ukweli.
 
Back
Top Bottom