PreGE2025 John Heche: OCD mimi sio Mke wako, nasema huna chakunifanya hii nchi sio ya Mama zenu

PreGE2025 John Heche: OCD mimi sio Mke wako, nasema huna chakunifanya hii nchi sio ya Mama zenu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Tatizo la.latiba ndipo linapojidhihirisha wazi wazi kwa mteuliwa kutoa amri na inatekelezwa bila kuhojiwa
 
Kwa ujinga unaofanywa na hawa machawa sio wa kufumbia macho.
Ccm inaongozwa na wajinga sana
Sahihi ipatikane njia ya KIEREVU ya kuwashinda wajinga lakini sio ulimi kuwa mwepesi kuliko ubongo.
 
Hata Magufuli alifika Mochwari japo mwanzo yeye ndio alikua anatoa order watu wapelekwe huko.
Maana yake kipindi akiwa hai alikitumia vizuri ndio maana mpaka sasa hivi unamkumbuka. Nami ningelifanya hivyo hivyo kabla nami sijaenda mochwari!
 
Tunahitaji watu majasiri kama kina Heche na Lissu,tungewapata watu kama hawa kila mkoa angalau 50K,tungeshabadilisha uongozi wa nchi hii,
Nchi isingetawalika hata kwa uongozi mpya. Watu 50k kila mkoa aina ya Heche huyu? Kila siku ingekuwa ni vita vya kiharakati.
 
Maana yake kipindi akiwa hai alikitumia vizuri ndio maana mpaka sasa hivi unamkumbuka. Nami ningelifanya hivyo hivyo kabla nami sijaenda mochwari!
Yeye nae wakamtumia vizuri sio?

Yupo wapi kwa sasa na waliomkosoa aliwamaliza wote kuwapeleka mortuary?
 
Yeye nae wakamtumia vizuri sio?

Yupo wapi kwa sasa na waliomkosoa aliwamaliza wote kuwapeleka mortuary?
Hakuna anayeushi MILELE dogo? Hata Mapapa wa Kikatoliki na roho zao nzuri sana wanakufa! Au hujui hilo, dogo?
 
Back
Top Bottom