Una ujinga mwingi sana. Yafanye Sasa unashindwa nini? Toka muaze kuwauwa wameisha?Basi kwangu yangelikuwa zaidi ya hayo. Trust me!
Una ujinga mwingi sana. Yafanye Sasa unashindwa nini? Toka muaze kuwauwa wameisha?Basi kwangu yangelikuwa zaidi ya hayo. Trust me!
Ukizoea kuwa kondoo ni lazima umshangae Hecheeti huyo ni kiongozi wa watu, sijua kama ana watoto wana hulka na tabia gani?![]()
NIMECHEKA KAMA MAZURINingelikuwa mimi ndio huyo OCD, Heche angelikuwa mochwari sasa hivi!
"Ningelikuwa". Unaelewa maana yake?Una ujinga mwingi sana. Yafanye Sasa unashindwa nini? Toka muaze kuwauwa wameisha?
Uoni toto la magufuli lilikua linalalamika kuwa baba kafa hawatujali Tena.Unakumbuka wakati wa Magufuli wewe ulivyo kuwa unajidai.Wewe ndiye ulishiriki kumuua Ben Saanane.Damu yake na ikawe laana kwa familia yako na Magufuli
Lengo langu,Wewe mjinga! Umeyasahu ya nape na makala? Umeyasahau ya magufuli hadi kujilinganisha na malaika?
Ethics gani unazungumzia ukiwa mwana ccm? Hujui màana ya ethics kwa upana wake tukusaifie?
Unajuaje utautumia uhai wako vizuri?Nikiwa hai nautumia uhai wangu vizuri.
Domo kaya Domo chafuVichaa,Vibaka na Matapeli wa siasa hawawezi kamwe kupewa dola.Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) John Heche akaanga vibaya OCD mbele ya umati wa wafuasi wa Chama hicho.
"Natamani ningekuwa na muda na hayo maelekezo unayopokea kwa Kihongosi, ningekuwa na muda ningepambana na wewe tuone ungenifanya nini mimi sio mke wako, huna cha kunifanya"
Upo kijijini mkuu tunaoishi mjini tunaelewa code zote.Mimi nakaa Mtaa wa Majengo Mapya, Mkolani, Jijini Mwanza karibu na inapokaa familia ya John Heche. Kama hapo ni kijijini,poa!
Tunajadili post juu ya kauli ya Heche .Kukatili uchaguzi ni ethics?
simshangai gentleman,Ukizoea kuwa kondoo ni lazima umshangae Heche

Uwezi kuwa muovu alafu useme ueleweke utaeleweka kwa waovu wezako ndiyo watakushangilia. Maana hata magu wakati anauwa mlishangilia pia. Lisu alipigwa risasi na mkashangilia alafu unataka ueleweke. Kaeleweke kwa waovu wenzio huko"Ningelikuwa". Unaelewa maana yake?
Basi sawa. Karibu Passion hapa unywe Konyagi ukisubiria mechi ya Simba.Upo kijijini mkuu tunaoishi mjini tunaelewa code zote.
Akili yako hata kuku hanaNingelikuwa mimi ndio huyo OCD, Heche angelikuwa mochwari sasa hivi!
Hata lisu alikuwa hivi hivi sasa watu wana sema anaonewa haya matamshi sio ya kumwambia mwanaume mwenzako ,mdude alianza hivi hivi
Chama kinaongozwa na vichaa
Hata babaako hana.Akili yako hata kuku hana
Unataka awe zezeta Kama wewe?.simshangai gentleman,
namuonea huruma tu,
kwasababu najua asingejiingiza kwenye masuala ya kubeti kisha akaliwa pension yake yote ya ubunge, hangekua na stress na kuropoka kama anavyofanya sasaivi![]()
CHADEMA kuna vichaa wengi.eti huyo ni kiongozi wa watu, sijua kama ana watoto wana hulka na tabia gani?![]()