Administer
JF-Expert Member
- Feb 9, 2020
- 2,639
- 2,384
Bangi mbayaHeche Leo kachafukwa vibaya sana😂
Bangi mbayaHeche Leo kachafukwa vibaya sana😂
Ahsante pamoja sana mkuu nipo mbali ningeivamia hiyo mzala..Basi sawa. Karibu Passion hapa unywe Konyagi ukisubiria mechi ya Simba.
Je? ambayo yanasemwa na viongozi wa ccm huwa hamu sikii ?Hapo kakosea,hasira nazo zinachangia
Wewe unahisi huyo anashida kama ulizonazo wewe? Ambacho hana ni kipi?simshangai gentleman,
namuonea huruma tu,
kwasababu najua asingejiingiza kwenye masuala ya kubeti kisha akaliwa pension yake yote ya ubunge, hangekua na stress na kuropoka kama anavyofanya sasaivi![]()
We fala kweli...wewe ni nani mpaka umpe mtu nchi?...Kwa bwatu namna hii halafu upewe nchi?
Ethics za chama gani zinaruhusu mtu kutoa povu kama vile hujawa matured!
Hii kaliAisee chadema kwa sasa ipo mikononi salama, ndo maana Mzee mbowe ameamua kaa kimia akiwachora ccm,
Mbowe yupo na akili sana , huu mchaka mchaka vijana wake wanaipelekea ccm sio wa kitoto .
Kuna kipindi nilisema kuna siku watakuja watu wakali ndani ya chadema hapa jf (moderator tafadhari kama nasema uhongo
niazibu wakuu)
kuliko Mbowe waliokua wanamuita majina ya hovyo na kumchukia, na yameanza kutimia.
Mbowe iwe jua au mvua , anaweza shirikiana na wajinga wa upande ule ila hatadhubutu kukiua chama ichi, yule mzee ana akili sana .
Ila tu akizingua tunamzingua pia
Ushawahi msikiliza Wasira vizuri? Kile ndio kisima cha zamano kilichosheheni matusiKwa bwatu namna hii halafu upewe nchi?
Ethics za chama gani zinaruhusu mtu kutoa povu kama vile hujawa matured!
Wale waleWe fala kweli...wewe ni nani mpaka umpe mtu nchi?...
Hao polisi kwa nini wamewakataza kupita?...
Katika hili CDM wako sahihi kabisa...Mbona CCM hawasumbuliwi?...
Huu ni upumbavu of highest order
Tunapambana JF kwenye real world tunakunywa Konyagi pamoja! Ahahahahaha?!Ahsante pamoja sana mkuu nipo mbali ningeivamia hiyo mzala..
amehoji: ocd anawazuia kwenda wanakoenda kwa sheria zipi. Ocd anatekeleza maelekezo feki ya machawa yanayojipendekeza! ila kiukweli mapolisi huwa yanaudhi sana! mambululaShida yenu nyinyi Maccm huwa hamtaki kuambiwa ukweli.
CHADEMA kuna vichaa wengi.
Tangu lini mtoto wa shule akawa na akili??!!Ningelikuwa mimi ndio huyo OCD, Heche angelikuwa mochwari sasa hivi!
Na yule mwenezi eti chadema wanataka kununua sijui ugonjwa gani walimfanya nini!Ushawahi msikiliza Wasira vizuri? Kile ndio kisima cha zamano kilichosheheni matusi
Ningelikuwa mimi ndio huyo OCD, Heche angelikuwa mochwari sasa hivi!
Huwezi kuwa disturb watu alafu waki retaliate unaanza kuwalaumu..huo ni upumbavu...Wale wale
Ugonjwa ule ule.
Ndio life ya Gentlemen hiyo mkuu utani mwingi life goes on sio unakua serious hata kwa vitu vya utani utani tu.Tunapambana JF kwenye real world tunakunywa Konyagi pamoja! Ahahahahaha?!
Hata mimi nadhani hata wewe unaweza ukatoa huenda zaidi ya hayo kwa jinsi chadema wanavyo umizwa kumbuka Kila mtu ni kichaa na ukichaa humfika akichukia, (hasira)Kwa bwatu namna hii halafu upewe nchi?
Ethics za chama gani zinaruhusu mtu kutoa povu kama vile hujawa matured!
Kwanza nimependa reaction ako mkuu.Ushawahi msikiliza Wasira vizuri? Kile ndio kisima cha zamano kilichosheheni matusi
Ndio maana mkaamua kumuua?.Hata lisu alikuwa hivi hivi sasa watu wana sema anaonewa haya matamshi sio ya kumwambia mwanaume mwenzako ,mdude alianza hivi hivi
USSR