PreGE2025 John Heche: OCD mimi sio Mke wako, nasema huna chakunifanya hii nchi sio ya Mama zenu

PreGE2025 John Heche: OCD mimi sio Mke wako, nasema huna chakunifanya hii nchi sio ya Mama zenu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Upo sahihi lakini ukiwa kwenye mapambano lazima uchunge namna ya kutoka msituni.
Kuna wakati wanategesha bomu ili ujitokeze wajue upo uelekeo gani wakutwange vizuri.
Sasa kwa majibu haya adui anapata point ya kukuchokozea ili ulimi uwe mwepesi zaidi kisha wakunange kwa wananchi
Uko sahihi viongozi wa kitaifa inatakiwa wachunge kauli zao, kauli hazifi

Public figures have to keep their words
 
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) John Heche akaanga vibaya OCD mbele ya umati wa wafuasi wa Chama hicho.

"Natamani ningekuwa na muda na hayo maelekezo unayopokea kwa Kihongosi, ningekuwa na muda ningepambana na wewe tuone ungenifanya nini mimi sio mke wako, huna cha kunifanya"


Tlaatlaah, Lucas Mwashambwa yale mambo yetu sasa, ule mwisho hauko mbali.
 
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) John Heche akaanga vibaya OCD mbele ya umati wa wafuasi wa Chama hicho.

"Natamani ningekuwa na muda na hayo maelekezo unayopokea kwa Kihongosi, ningekuwa na muda ningepambana na wewe tuone ungenifanya nini mimi sio mke wako, huna cha kunifanya"

Hilo lipumbavu linatafuta lawama. Wanaanzaga hivyohivyo, mtu mzima mwenye akili zake hawezi kuongea kitoto hivyo. Wanapenda sn shari hasa wakiwa mbele ya kadamnasi, afanye uhalifu km hana la kumfanya. OCD anaangalia usalama sasa km hujafañya kosa unabwabwaja nini. Eti hilo ndio kiongozi
 
Kwa bwatu namna hii halafu upewe nchi?
Ethics za chama gani zinaruhusu mtu kutoa povu kama vile hujawa matured!
Ulisikia alicho ambiwa?
Maana ya kuwa 'matured' ni nini, kusikiliza upumbavu?

Kuteka watu na kuwaumiza/kuwaua, ndiko unakojuwa kuwa 'matured'?
 
Hata mimi polisi wanamlea vibaya

USSR
Wako km makahaba wanajipendekeza bdae lawama, anaweza kupotezwa na maisha yakaendelea. Wapi Mdude, OCD anasubiri maelekezo toka juu, wacha alilie wembe anafikiri hao wananchi watamsaidia. Bure kabisa!
 
Ulisikia alicho ambiwa?
Maana ya kuwa 'matured' ni nini, kusikiliza upumbavu?
Mkuu usijishushe heshima ako.
Si wanasema polisi wamefeli shule
Tufanye wamefeli ni wajinga.
Heche hajafeli means ni mwerevu
Awajibu kierevu.
 
Aisee chadema kwa sasa ipo mikononi salama, ndo maana Mzee mbowe ameamua kaa kimia akiwachora ccm,

Mbowe yupo na akili sana , huu mchaka mchaka vijana wake wanaipelekea ccm sio wa kitoto .

Kuna kipindi nilisema kuna siku watakuja watu wakali ndani ya chadema hapa jf (moderator tafadhari kama nasema uhongo
niazibu wakuu)
kuliko Mbowe waliokua wanamuita majina ya hovyo na kumchukia, na yameanza kutimia.

Mbowe iwe jua au mvua , anaweza shirikiana na wajinga wa upande ule ila hatadhubutu kukiua chama ichi, yule mzee ana akili sana .

Ila tu akizingua tunamzingua pia
We nawe ni zombie, huyo lofa wanamlia timing, halafu umsaidie. Acheni ulofa endesheni siasa km watu wazima wenye akili
 
Back
Top Bottom