Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 51,453
- 41,274
Heche aliamuru walinzi wake katili wamteke Sigrada Mligo but wakaishia kumpiga na kumuumiza vibaya sana.Vip anayesema watu kutekwa na kuuwawa ni drama.
huenda anahusika na matukio mengine ya utekaji kwasababu nadhani ni mzoefu

