PreGE2025 John Heche: OCD mimi sio Mke wako, nasema huna chakunifanya hii nchi sio ya Mama zenu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Sitopinga wala kwenda kupima kama hao watoto umenizalia na umenithibitishia jf kuwa sio wangu.
Mkeo anajua vizuri mimi nahusikaje hapo. Mbane tu vizuri atakuambia ukweli lakini fuatilia tabia za watoto wako wawili hao utaujua ukweli. Man Up dogo. Wanaume huwa hatuogopeshwi na magwanda au cheo cha mtu.
 
Porojo za online.
Hakuna chochote cha kutokea zaidi ya amani katika Tanzania.
Unashangaza kwelikweli. Sasa hivi unaona "amani Tanzania"?
Hao wanaoumizwa na kuuliwa, na matendo maovu mengi mengine, kwa sababu tu ya kumpigania kiongozi abaki madarakani, ndiyo kwako unaiona kuwa amani?
 
Kwa bwatu namna hii halafu upewe nchi?
Ethics za chama gani zinaruhusu mtu kutoa povu kama vile hujawa matured!
Kuna mtu alisema watu wapige mbizi toka feri hadi kigamboni, na vile vile alisema watu wanye na wageuze mavi yao kuwa lami, na akapewa nchi..!!
 
Mkeo anajua vizuri mimi nahusikaje hapo. Mbane tu vizuri atakuambia ukweli lakini fuatilia tabia za watoto wako wawili hao utaujua ukweli. Man Up dogo. Wanaume huwa hatuogopeshwi na magwanda au cheo cha mtu.
Narudia tena mimi najua watoto ni wangu,
Lakini maadamu mhusika ulienizalia umethibitisha watoto si wangu haina shida Habibi.
Wala sitokununulia gunia la mkaa kwa moyo safi watambulishe baba yao halisi.
 
Hiv Hawa n viongozi au wahuni tu ,mtu mzima amekosa ata ethics,hivi wewe Ocd ndio unamjibu hivyo,kweli cdm ninovyo
 
Narudia tena mimi najua watoto ni wangu,
Lakini maadamu mhusika ulienizalia umethibitisha watoto si wangu haina shida Habibi.
Wala sitokununulia gunia la mkaa kwa moyo safi watambulishe baba yao halisi.
Kawapime dogo.
 
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) John Heche akaanga vibaya OCD mbele ya umati wa wafuasi wa Chama hicho.

"Natamani ningekuwa na muda na hayo maelekezo unayopokea kwa Kihongosi, ningekuwa na muda ningepambana na wewe tuone ungenifanya nini mimi sio mke wako, huna cha kunifanya"

Hizi kauli ni za hovyo sana najua kauli Kali za kihuni kama hizi ndizo zimewakimbiza wanachama wengi wastaarabu.
 
Kwa bwatu namna hii halafu upewe nchi?
Ethics za chama gani zinaruhusu mtu kutoa povu kama vile hujawa matured!
Kama Magufuli alikuwa Rais Bora baada ya Nyerere kwa kubwabwaja ije iwe kwa heche?

Mkapa aliita watu marofa mkashangilia

Mwinyi aliwaita kichwa Cha mwenda wazimu mkashangilia

Samia aliwaambia tutazenguana mkapiga makofi
 
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) John Heche akaanga vibaya OCD mbele ya umati wa wafuasi wa Chama hicho.

"Natamani ningekuwa na muda na hayo maelekezo unayopokea kwa Kihongosi, ningekuwa na muda ningepambana na wewe tuone ungenifanya nini mimi sio mke wako, huna cha kunifanya"

Samia aliwahi kutamka stupid, hapo vipi
 
Wewe ni nun wa shirika gani?
Sasa habibi mpaka unakiri watoto sio wangu means unanijua vizuri.
Now unaniuliza mimi wa shirika gani?
Unamzalia mtu bila kujua wasifu wake?
Habibi naona unashida ya kukosa kumbukumbu.
 
Kama Magufuli alikuwa Rais Bora baada ya Nyerere kwa kubwabwaja ije iwe kwa heche?

Mkapa aliita watu marofa mkashangilia

Mwinyi aliwaita kichwa Cha mwenda wazimu mkashangilia

Samia aliwaambia tutazenguana mkapiga makofi
Uko sahihi Chief tuendelee kubwatuka haina neno.
 
Sasa habibi mpaka unakiri watoto sio wangu means unanijua vizuri.
Now unaniuliza mimi wa shirika gani?
Unamzalia mtu bila kujua wasifu wake?
Habibi naona unashida ya kukosa kumbukumbu.

Nun kuna mashirika mengi. Au hujui nuns ndo wanaitwa masister? Kuna mashirika mengi au wewe shirika la mama bikira? Bin nun. Umeupenda sana usister.
 
Back
Top Bottom