PreGE2025 John Heche: OCD mimi sio Mke wako, nasema huna chakunifanya hii nchi sio ya Mama zenu

PreGE2025 John Heche: OCD mimi sio Mke wako, nasema huna chakunifanya hii nchi sio ya Mama zenu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) John Heche akaanga vibaya OCD mbele ya umati wa wafuasi wa Chama hicho.

"Natamani ningekuwa na muda na hayo maelekezo unayopokea kwa Kihongosi, ningekuwa na muda ningepambana na wewe tuone ungenifanya nini mimi sio mke wako, huna cha kunifanya"

Hili li Heche ni lipumbavu sana, halina adabu!!
 
Wako km makahaba wanajipendekeza bdae lawama, anaweza kupotezwa na maisha yakaendelea. Wapi Mdude, OCD anasubiri maelekezo toka juu, wacha alilie wembe anafikiri hao wananchi watamsaidia. Bure kabisa!
Acha upuuzi kupotezwa kupotezwa, eti anasubiri maelekezo kutoka juu!! Juu ya wapi... Kazi kujipendekeza...hovyo kabisa Heche ongeza sauti
 
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) John Heche akaanga vibaya OCD mbele ya umati wa wafuasi wa Chama hicho.

"Natamani ningekuwa na muda na hayo maelekezo unayopokea kwa Kihongosi, ningekuwa na muda ningepambana na wewe tuone ungenifanya nini mimi sio mke wako, huna cha kunifanya"

Lugha inavukakasi.
Too personal to be politics.
 
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) John Heche akaanga vibaya OCD mbele ya umati wa wafuasi wa Chama hicho.

"Natamani ningekuwa na muda na hayo maelekezo unayopokea kwa Kihongosi, ningekuwa na muda ningepambana na wewe tuone ungenifanya nini mimi sio mke wako, huna cha kunifanya"

Dah

Haya
 
Kabia hapo hapo, Heche, na wao hawana Ethics, wafundisheee,,
 
Utovu mkubwa wa nidhamu, hawana adabu Hawa kenge maji, askari yupo hapo anakulinda mara unaanza kumporomoshea maneno, kwani hamna sera za kuwapa hao kenge wenu, mpaka mpamie vyombo vya ulinzi na usalama?, askari anaweza kufungua kesi ya kugedheheshwa ikaunguruma mahakamani, baadae makapiga kelele mnaonewa, pumbavu sana, nashauri kesi ifunguliwe ya kutweza na kufedhehesha kiongozi wa Umma akiwa kwenye majukumu yake, sote ni mashahidi, hakuna sheria ya kufedhehesha mtu, KESI IFUNGULIWE MARA MOJA!
Nenda kufungue kesi kenge wa kijani unalia lia nini hapa
 
Kwa bwatu namna hii halafu upewe nchi?
Ethics za chama gani zinaruhusu mtu kutoa povu kama vile hujawa matured!
Kwa jinsi wanavyofanyiwa mikwara viongozi wa chama hiki;lugha wasemayo ni ya kujihami na ni sahihi wameumizwa kisaikologia sana kwamba wanazuiwa kutumia viwanja,barabara na pengine misafara yao kupigwa mabomu pasipo kosa halafu utegemee waongee kama wanahubiri kanisani?
 
Hata lisu alikuwa hivi hivi sasa watu wana sema anaonewa haya matamshi sio ya kumwambia mwanaume mwenzako ,mdude alianza hivi hivi

USSR
Wako hivyo, na ndiyo lugha wanayoona inawafaa kuitumia kwa sasa. Nina hakika upande wa Pili, CCM, wana lugha ngumu Kali na sometimes chafu kuliko ya Heche.
 
Back
Top Bottom