PreGE2025 John Heche: OCD mimi sio Mke wako, nasema huna chakunifanya hii nchi sio ya Mama zenu

PreGE2025 John Heche: OCD mimi sio Mke wako, nasema huna chakunifanya hii nchi sio ya Mama zenu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Kwa bwatu namna hii halafu upewe nchi?
Ethics za chama gani zinaruhusu mtu kutoa povu kama vile hujawa matured!
eti huyo ni kiongozi wa watu, sijua kama ana watoto wana hulka na tabia gani? :pedroP:
Sign of. immaturity
Sign of. immaturity
Nakwambia wewe unalima karanga je una soko,je huyo kizmkazi wako alieleta Dp Word ulikubali au ulisukumwa.
 
Hata lisu alikuwa hivi hivi sasa watu wana sema anaonewa haya matamshi sio ya kumwambia mwanaume mwenzako ,mdude alianza hivi hivi

USSR
Tatizo mmeshzoeshana kunyenyekeana hata kama mna vunja sheria nanhaki za wengine, huo ni utumwa
 
Polisiccm huwa hawaoni matendo yao haramu ya kishetani lakini chadema wakikataa manyanyaso yao ndipo chawaccm huibuka na kuandika ujinga
 
Sumu ya maendeleo kwa Tanzania ya sasa ni chawaccm na Polisiccm kwa kukumbatia vitendo haramu vya kishetani
 
Nakwambia wewe unalima karanga je una soko,je huyo kizmkazi wako alieleta Dp Word ulikubali au ulisukumwa.
Gentleman,
soko la karanga, maharagwe na njegere ni la uhakika na bei yake hua haishuki bali hupanda mwaka hadi mwaka na hatima kuinu kipato na hali za maisha ya wakulima :NoGodNo:
 
Chawaccm na Polisiccm ni janga la Taifa la Tanzania kwa sasa
 
OCD anapewa amri za hovyo anatekeleza acha wapewe vidonge vyake.
Polisiccm hawafanyi kazi kwa mjibu wa sheria kwa sasa bali wanafanya kazi kwa mjibu wa Amri haramu za kishetani toka kwa makala na chawaccm
 
heche si anakaa kwa wazazi gentleman, hana kitu sasa ataishije na pension yote ya ubunge alipigwa na muhindi? :pedroP:
Huo uzushi wa kifala peleka kwa wavuta bangi wenzako huko ghetto, hapa watu wanajielewa na wanajua upumbavu wenu nyie chawaccm wote
 
Huo uzushi wa kifala peleka kwa wavuta bangi wenzako huko ghetto, hapa watu wanajielewa na wanajua upumbavu wenu nyie chawaccm wote
si mbaya kukaa kwa wazazi,
but amekaa sana huyo muungwana :pedroP:
 
Aliedhurumu uchaguzi wa kuteuliwa na ccm bibi chau na alieleta Dp Word Miaka 900 nani nafuu,anaegawa pesa visiwani kwenye upenyo wa mkopo nani zaidi
Chawaccm mmekuwa mashetani mnafagilia watanganyika kuteswa na mzanzibar
 
Wanaona bora wangemkamata Heche siyo Lissu,sasa apo wakimkamata na Heche Wawe tayari kukutana na Lema na Mnyika.
 
Back
Top Bottom