PreGE2025 John Heche: OCD mimi sio Mke wako, nasema huna chakunifanya hii nchi sio ya Mama zenu

PreGE2025 John Heche: OCD mimi sio Mke wako, nasema huna chakunifanya hii nchi sio ya Mama zenu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
OCD amedhalilishwa kweli, namshauri akafungue shauri, ufehedheshaji huu aukubaliki, Watu wote ni mashahidi na video zipo, hapa hapana lawama fidia 5bil, watajifunza heshima na adabu, nashauri OCD aliyedhalilishwa afungue jalada,ikumbukwe inapokuwa imevaliwa nguo za police, kofia na nembo ya Chuma, pale inayokuwa imedhalilishwa ni serekali nzima.
 
Huyo kamuambia OCD,kule A TOWN kuna mmoja sijui ni nani yule anawaambia Wananchi kuwa RC kaumiza watu wengi na RC hakuwa na cha kumfanya.
 
Gentleman,
soko la karanga, maharagwe na njegere ni la uhakika na bei yake hua haishuki bali hupanda mwaka hadi mwaka na hatima kuinu kipato na hali za maisha ya wakulima :NoGodNo:
Ufuta debe 25,000/- kwa sasa mmeua benki ya kilimo baada ya Crdb Leo inakuja benki ya ushirika,ya kilimo ya nini,kwanini deni la taifa 150trilion na hamsemi,hivi nani kakwambia Bibi kidude ana sifa ya kugombea
 
Lugha hii haiendani na mwanasiasa mkubwa kwenye chama Cha upinzani.
 
Kuna RPC mmoja amerekodi maongezi yake na mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama mkoani mwake, jinsi anavyoamrishwa kutenda unyama kwa kundi fulani.

Anasema amerekodi ili awe na ushahidi iwapo kesho na keshokutwa ICC itaifikia Tanzania.
 
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) John Heche akaanga vibaya OCD mbele ya umati wa wafuasi wa Chama hicho.

"Natamani ningekuwa na muda na hayo maelekezo unayopokea kwa Kihongosi, ningekuwa na muda ningepambana na wewe tuone ungenifanya nini mimi sio mke wako, huna cha kunifanya"

Mijutu yenye midomo ya ovyo namna hii haifai kupewa hata kuongoza sebule ya nyumba.Hawa ndio Chadema kweli ? mbona wanatoka nje kabisa ? mtu akishaanza kuongea habari ya 'mama zenu' ujue ameshaingia kwenye hatua nyingine.Watanzania ,kweli tuwavumilie watu hawa ? Jamani ,hata mbwa wa Polisi ana nidhamu.Tumuombe Mwenyezi Mungu ,Mola mlezi ,atuepushe na huu msiba .
 
Aiseee Heche akumbuke yeye kwasasa ndiye Boss wa chadema,ajitahidi kuwa matured na kutumia lugha isiyo na ukakasi kama hii
 
Hawa ni watu wa kuwatenganisja kichwa na kiwiliwili dip wa kuwapa muda wa kusimama majukuani Samia no mpole sana atupe kazi tumpunguzie matusi kwa kuficha vichwa hivi
 
Mijutu yenye midomo ya ovyo namna hii haifai kupewa hata kuongoza sebule ya nyumba.Hawa ndio Chadema kweli ? mbona wanatoka nje kabisa ? mtu akishaanza kuongea habari ya 'mama zenu' ujue ameshaingia kwenye hatua nyingine.Watanzania ,kweli tuwavumilie watu hawa ? Jamani ,hata mbwa wa Polisi ana nidhamu.Tumuombe Mwenyezi Mungu ,Mola mlezi ,atuepushe na huu msiba .
Ila "malaika" wenye dhamana ya kulinda usalama wetu, kisha wakageuka na kuanzia kuteka na kutupoteza ndo wenye haki ya kuongeza nchi hii!, What a shame?
 
Hawa ni watu wa kuwatenganisja kichwa na kiwiliwili dip wa kuwapa muda wa kusimama majukuani Samia no mpole sana atupe kazi tumpunguzie matusi kwa kuficha vichwa hivi
Upole wa sa 100 u wapi? Huyu anayeongoza magenge ya utekaji na upotezaji wa walimpa kodi wake? Hopeless kabisa
 
Back
Top Bottom